Someone wa ku-socialize nae hapa OENKERK - NETHERLANDS tafazali

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
Najisikia kumiss home, najikia kumiss wa-east africa wenzangu. Kuna mwanaJF wa east-Africa yeyote mjini hapa au karibu, walau tu-socialize na kukumbushana ya home kidogo?

Kama yupo ani-PM tafazali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom