Someone to join me in Dar

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,458
7,370
All the way from A-town,..niko hapa Italian Pub House-maeneo ya Tabata Chama kuelekea Mawezi tunakunywa na washkaji..ningependa sana kama ningekutana na member wa Jf Dar...

Nb:I will take care of the bill..just company...can anyone hear me.
 
kamanda.....utasubiri sana....sio nyumbani huko ujue........
 
Huyu kachelewa sana kusema...Dar ni kubwa sio kama Arusha...

acha hizo wa kunyumba..sema uko wapi nakuzukia sasa hivi..maake naenda msimbazi centre msibani...bado mapema..au ndio maandalizi ya tanga trip ndio yanakunyima muda.
 
acha hizo wa kunyumba..sema uko wapi nakuzukia sasa hivi..maake naenda msimbazi centre msibani...bado mapema..au ndio maandalizi ya tanga trip ndio yanakunyima muda.

Kiluvya kama unaenda Kibaha...kesho ni kazini au umesahau hilo kaka kwa kuwa upo likizo!!!
 
Lilino mundungu nkamu...abhamdu bikhutughasya kutali...Mbwani jili nywamu fijo!!

nji menye fijo ibwani nnkamu..nngulile papapa nnkamu..just to make you high
 
Back
Top Bottom