kamanda.....utasubiri sana....sio nyumbani huko ujue........
ahahahaaaaaaa....Dar ni kiboko..ni waoga kama digi digi.
acha hizo wa kunyumba..sema uko wapi nakuzukia sasa hivi..maake naenda msimbazi centre msibani...bado mapema..au ndio maandalizi ya tanga trip ndio yanakunyima muda.
Lilino mundungu nkamu...abhamdu bikhutughasya kutali...Mbwani jili nywamu fijo!!
ahahahaaaaaa.....wish you in..!
nine ngwitika nnkulumba....
mimi zaidi...sema wapi nikuzukie...sasa niko hapa Obama Pub