Someone tell me am crazy or silly; ina maana kuwa na mtu ambaye huna hisia naye kimapenzi?

Mkuu ebu fafanuz. Inawezekanaje kuwa committed kwa mtu ambaye uwepo au kutokuwepo kwake hakukupi shida yoyote ?
Uwezekano upo kama unapenda,hiyo hali ya kuhisi uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi shida ni temporary, ukiendelea kumpenda hiyo hali itaisha na mtaendelea na mapenzi yenu,cha msingi ni kutogive up.

Kama mtu kakutoka hivyo basi ni ishara hakufai
bora tu uachane nae for good
 
Uwezekano upo kama unapenda,hiyo hali ya kuhisi uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi shida ni temporary, ukiendelea kumpenda hiyo hali itaisha na mtaendelea na mapenzi yenu,cha msingi ni kutogive up.

Kipi kinaanza kati ya kuwa na feelings na mtu au kumpenda mtu ?
 
Mimi nahisi jamaa alikuwa anataka huo mchezo mchafu na alikuwa anatumia gia hiyo kuona kama nawe ni muumini wa mchezo huoo!! Hafai huyo piga chini!!
 
Ni ngumu kukaa na mtu usiye mfeel. Lakini kama unaweza kuendelea kua nae as a friend, and forgive him for what he accused you of may be time will help you to get the feelings back. Just give a time and see if it will work. Ikishindikana kabisa muache usimpotezee muda kijana wa watu.
 
Habari zenu,
Came to earth 1988, should call myself a woman, not a little girl anymore.
swali linaniwazisha. Hivi kuna maana ya kukaa kwenye relationship kama mtu hum`feel, in short, huyu mtu huna hamu naye kimapenzi kata kubusu tuu ni shida.

Ok, kuna jamaa nilimjuaga kama mwaka hivi, mwanzoni nilikuaga na mshawasha nae sana yani sana, he is very caring, loving, good looking , mchapa kazi na anahitaji relationship yenye future.

I was happy to find him, but came siku moja tuka have romance moment, kesho yake akaja akanituhumu kwamba anaona mimi nilishawahi fanya mapenzi kinyume na maumbile na alinikejeli na kuniongelesha kwa dharau sana kitu ambacho kiliniuma na ukizingatia sijawah fanya hicho kitendo.

From hiyo siku jaman, hisia zangu juu yake zilichange, na nilimwambia aniambie kwa nini anahisi mimi nilishawahi fanya hivyo au kitu gani amekiona katika mwili wangu kimpelekee kusema vile, hajawahi nijibu hilo swali hadi leo.

Sadly from that day ikawa ngumu kwangu hata kum`hug or have romance with him japo kuwa alikua very nice to me, so ikawa namuona kama mshikaji wa kawaida tutasaidiana mambo or mawazo but faragha sitaki hata aniguse.

Nimejipiga moyo kweli nitabadilika nikawa nipo tu na yeye hadi mwenyewe akajua kwamba sim`feel au simtamani kimapenzi nikamwambia wazi since ulinambiaga jambo fulani my feelings has changed, he apologized nikasamehe like sitaki kuwa nasema hilo jambo everytime.

Sasa, shida ni hiyo kweli nimejaribu hata kumshirikisha Mungu anitoe hicho kifungo jamani, hisia zangu haziamkii juu yake, at some-point nikaona niwe naangalia porn halafu ndiyo nikutane naye but mhh ikagoma.

So nikaona jamaa kweli ana nia nzuri lakini tutaishije kama wanandoa kama sina hamu ya kufanya nae tendo, sawa am growing old but is it worth it kuwa na mtu sim`feel just because atanioa? Ikawa naanza kumsahau, sitaki kuonana nae mara kwa mara or kuongea nae ikawa nadra like we were losing touch. And najua with time angechoka na angepata mtu wa kuwa nae faragha. sikutaka hiyo intokee nikiwa nae.

Swali langu , je ina maana kuwa na mtu katika uhusiano kama huna hisia nae kimapenzi?
Haina maana. Muacha
 
Kama siyo kweli kwa nini ukwazike hivyo? Kuna ka ukweli hapo labda...

Kwa kuthibitisha hujawahi huo mchezo weka picha tukague...
 
hahah umenifurahisha... et picha.
Ishu ni jinsi aliniongelesha kuhusu hilo swala.. kuna namna watu huongea unaeza muuliza mtu swali kiistaarabu tuu akakujib kama ni kweli ama siyo na with time ukweli hujiwekaga wazi wenyewe jaman... kuna kumshutumu mtu na kumuuliza mtu kitu. nilijiskia kudhalilishwa na kwamba hakutakaga kusema kipi hasa kimemfanya anishutumu hvyo..for me it was a disrespect.
 
Ni ngumu kukaa na mtu usiye mfeel. Lakini kama unaweza kuendelea kua nae as a friend, and forgive him for what he accused you of may be time will help you to get the feelings back. Just give a time and see if it will work. Ikishindikana kabisa muache usimpotezee muda kijana wa watu.
Uwezekano upo kama unapenda,hiyo hali ya kuhisi uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi shida ni temporary, ukiendelea kumpenda hiyo hali itaisha na mtaendelea na mapenzi yenu,cha msingi ni kutogive up.
sure..
bt hisia zina matter sana jmn.. coz inafka kipindi hutak aku'hug etc. kwa mwanaume kuvumilia ni ngum..or itatufanya tusi connect n bond km wapenzi..
 
Habari zenu,
Came to earth 1988, should call myself a woman, not a little girl anymore.
swali linaniwazisha. Hivi kuna maana ya kukaa kwenye relationship kama mtu hum`feel, in short, huyu mtu huna hamu naye kimapenzi kata kubusu tuu ni shida.

Ok, kuna jamaa nilimjuaga kama mwaka hivi, mwanzoni nilikuaga na mshawasha nae sana yani sana, he is very caring, loving, good looking , mchapa kazi na anahitaji relationship yenye future.

I was happy to find him, but came siku moja tuka have romance moment, kesho yake akaja akanituhumu kwamba anaona mimi nilishawahi fanya mapenzi kinyume na maumbile na alinikejeli na kuniongelesha kwa dharau sana kitu ambacho kiliniuma na ukizingatia sijawah fanya hicho kitendo.

From hiyo siku jaman, hisia zangu juu yake zilichange, na nilimwambia aniambie kwa nini anahisi mimi nilishawahi fanya hivyo au kitu gani amekiona katika mwili wangu kimpelekee kusema vile, hajawahi nijibu hilo swali hadi leo.

Sadly from that day ikawa ngumu kwangu hata kum`hug or have romance with him japo kuwa alikua very nice to me, so ikawa namuona kama mshikaji wa kawaida tutasaidiana mambo or mawazo but faragha sitaki hata aniguse.

Nimejipiga moyo kweli nitabadilika nikawa nipo tu na yeye hadi mwenyewe akajua kwamba sim`feel au simtamani kimapenzi nikamwambia wazi since ulinambiaga jambo fulani my feelings has changed, he apologized nikasamehe like sitaki kuwa nasema hilo jambo everytime.

Sasa, shida ni hiyo kweli nimejaribu hata kumshirikisha Mungu anitoe hicho kifungo jamani, hisia zangu haziamkii juu yake, at some-point nikaona niwe naangalia porn halafu ndiyo nikutane naye but mhh ikagoma.

So nikaona jamaa kweli ana nia nzuri lakini tutaishije kama wanandoa kama sina hamu ya kufanya nae tendo, sawa am growing old but is it worth it kuwa na mtu sim`feel just because atanioa? Ikawa naanza kumsahau, sitaki kuonana nae mara kwa mara or kuongea nae ikawa nadra like we were losing touch. And najua with time angechoka na angepata mtu wa kuwa nae faragha. sikutaka hiyo intokee nikiwa nae.

Swali langu , je ina maana kuwa na mtu katika uhusiano kama huna hisia nae kimapenzi?
Pole sana,nafikiri aliponzwa na stori za vijiweni.Ushauri wangu,angalia unayoyapenda na anayoyapenda na kinyumecho ili iwe kama sehemu ya kuimarisha mahusiano yenu.
Aidha,kwa yaliyopita yawekeni kando ili mugange yajayo.Vinginevyo utapata shida kama ulijiandaa kumuweka kando na ukatumia hoja hiyo kumtema.
 
haaha, yes, ilifika hatua tulikua naked wote (of which i regretted kuvua baada ya kuambiwa hayo maneno), na kwa wanaoelewa foreplay nadhani wanajua ni jns gani mtu anaeza fika hatua hiyo, cant write everything on this wall.
Don't write on this wall, write it to my pm
Huyo jamaa ni anazingua foreplay tu kashajua kama ume-anal sex!!? Naamini hiyo ni namna yake ya kutaka mfanye, yaani mwisho wa yote angetaka mthibitishe.
Hata hivyo unaonekana una kisasi na kinyongo sana kama Sizonje kama alikuja na kuonesha kua amejutia ungejaribu kuyahuisha mapenzi yako kwake, vipi kama ukapata mwingine akakukosea, ukaweka rohoni, na mwingine, na mwingine, na mwingine tena...
Vyovyote itakavyokua naamini bado ana asilimia kadhaa kwako la sivyo mpaka leo usingekua naye bado, no fcuk that, usingeomba hata ushauri ungekua ushatupa kule.

Oh And you wanted to know if you are crazy or silly, you are silly.
 
trueee tumekaa over 6 month with tht issue. tried to be positive abt things. . and yes ni mtu wa ku refer things toka vijiwen. and pia alishanambiaga kwamba aliwah jarib hilo jambo once na x wake... for me nkamwambia asi expect kabisa...yan nikaogopa hata kumfanyia blow job... kaaabisa. akasema ameacha.. so hata baada ya hapo tulikua tukijarib ku'do romance ataenda hyo direction ya kunyonya nyuma, then nita react tutaishia hapo...so honestly nashindwa muelewa kabsa..
 
Ku

Haina haja ya kuumuza kichwa.. jamaa alikuwa anataka tigo
 
Don't write on this wall, write it to my pm
Huyo jamaa ni anazingua foreplay tu kashajua kama ume-anal sex!!? Naamini hiyo ni namna yake ya kutaka mfanye, yaani mwisho wa yote angetaka mthibitishe.
Hata hivyo unaonekana una kisasi na kinyongo sana kama Sizonje kama alikuja na kuonesha kua amejutia ungejaribu kuyahuisha mapenzi yako kwake, vipi kama ukapata mwingine akakukosea, ukaweka rohoni, na mwingine, na mwingine, na mwingine tena...
Vyovyote itakavyokua naamini bado ana asilimia kadhaa kwako la sivyo mpaka leo usingekua naye bado, no fcuk that, usingeomba hata ushauri ungekua ushatupa kule.

Oh And you wanted to know if you are crazy or silly, you are silly.
Ni kweli. hata mwenyew nilimwambia kwamba imeniaffect kihisia na kumwambia am working on improving it..endapo ataniambia why did he accuse me na hilo...may be I have a problem ambayo siijui so I can solve it. but he said nothing. .. at all
maybe nina kisasi coz huwa nasamehe kirahisi na inanifanya kuwa taken 4 granted most times
, so this time I think am defending myself, yes ntasamehe but nataka kielewe.
thanks 4 answering my question that Am silly.... glad!
 
Back
Top Bottom