Someone else success brings pain.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,041
10,458
Na sio roho mbaya hapana.! Bali kuna hali na hisia fulani unajisikia mwilini pale unapoona mtu uliyekuwa ukihustle naye anazidi kutoboa wakati wewe umekwama hapohapo. Hiyo hali inaumiza wengi sana sema kwa sisi wengine tunachukulia kama changamoto ya kujitathimini ila kwa wengine ndo unakuwa mwanzo wa kurogana.
 
ni kweli mkuu chukulia mfano wa tundu lisu umaarufu wake haukuwapendeza viongozi wenzake wa chadema hata hili tukio la kupigwa risasi inawezekana kabisa ni njama za wanachadema wenzake kumpoteza kwa wivu tu wa umaarufu wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom