Someni taarifa ya Bernard Kamilius Membe

me nashangaa sana, kwa nini tunaruhusu kuwepo kwa ubalozi wa IRAN nchini TANZANIA while we dont like them to use our flag in oil vessels.
Dont they have our flag at their embassy.!?
Mwenye kujua atuhabarishe...!!
 
Membe kuna uwezekano mkubwa marekani wamelifanyia kazi hili jambo kabla hawajaenda public kazi kwenu na reactive report zenu!
 
Na hapa kuna mgogoro kwa sheria za kimataifa.muungano wetu ni tata na sasa Zanzibar inajiona ni nchi hivyo kuwa na autonomous position kwenye mambo ya hatari hususani kwenye medani za kimatifa.Tanzania ndiyo iliyosaini sheria za kimataifa na Mwanachama wa UN.Sasa zanzibar kwa kuwa imeruhusiwa kupitia loopholes kuchezea serikali ya Muungano ndiyo fedheha tunayovuna.

images
Union Flag instead of Island Flag
633241718100544445_zanzibar%20flag.gif


Zanzibar kama kiburi chao kimekomaa wangepeperusha bendera yao ya Visiwani badala ya bendera ya Muungano. Kwani hawa Wazenj wametuumbua kwa undumilakuwili wao.

Serikali ya Muungano kwa vile iliridhia sheria za kimataifa na ndiye mwanachama wake Zanzibar kwa vyo vyote imeonyesha jeuri na kiburi cha hali ya juu, wamewezaje kufanya ujasiri huo wa kufunga bendera ya Muungano wa Tanzania bila ridhaa ya viongozi wa Muungano wa Tanzania kuidhinisha? Au Membe anajikanganya kwani anazungukazunguka bila kujibu majibu ya serikali ya Zanzibar.
 
Taarifa ilishatolewa na SMZ sasa ya nini kutoa taarifa mbili mbili?

na je kuna sheria gani ya Kimataifa iliyovunjwa?
SMZ haina uhalali wa kuzungumzia jambo lolote linalohusu uhusiano wa kimataifa kwani zanzibar siyo nchi nje ya mipaka yetu. Kwa mantiki hiyo ni halali kwa Membe kutoa taarifa kwa niaba ya serikali ya Tanzania.
 
.....Azimio 1920 la UN Security Council.Tanzani sio adui wa nchi yoyote duniani. Tunafurahia mahusiano ...
Na kwa sababu hii ndio maana mmeamua kuwasaidia marafiki wenu iran kusafirisha mafuta....point noted
 
  • Thanks
Reactions: FJM
images
images
images
images
images
images


Sehemu ya Kauli ya Membe"
Tanzani sio adui wa nchi yoyote duniani. Tunafurahia mahusiano yetu na nchi zote duniani. Hili ni jambo linalogusa maslahi ya Tanzania nje na maslahi ya Tanzania ya ndani (Muungano), tujihadhari na namna tunavyolizungumzia. Tusimame pamoja kama taifa. Nchi kwanza!

Ngoma ya Mdundiko hiyo
Ndumila kuwili wanapolipuliwa ni aibu ilioje? Miezi michache iliyopita kuna mtu alileta mada hapa kutuonyesha kwamba Kikwete ameanza kugeukia upande wa Waarabu kupitisha bakuli, hii inayotokea leo ni uthibitisho. Tabia hii ya upopo ndiyo inayotufanya tuonekana watu legelege tusio na uthabiti katika utawala. Tunacheza na mambo ya uongozi kama ngoma ya mdundiko ambayo haina mwelekeo sahihi ili mradi njia inapitika basi ni kufuata tu hadi kupoteza watoto wanaoifuatilia.
 
Kama Iran wakikatazwa kuweka bendera ya Tanzani nani atakubali tena kugharamia zile mahakama za kadhi?

mweee hivi ndo wao Iran wanazifinance mahakama za kadhi ,duh afu juzi kati rais wa Iran si alienda ikulu kwa Daktari JK kumbe mweeeeeeeeee sisi ni vipofu
 
Zanzibar government defends Iranian oil tankers` registration


The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers, saying it didn't break any laws as claimed by a section of the international media early this week.

Zanzibar Infrastructure and Communication minister Hamad Masoud Hamad refuted reports that the Isles government had registered Iranian oil tankers as reported by Bloomberg News Agency early this week...

Ma friend, in Tanzania everything is politics, yaan hapa ni siasa tu, think of Richmond, EPA, Rada, hivi katika hali ya kawaida do you need to form an inquiry committee kwa hili, hata secretary anaweza kulet majibu mara moja.
 
Membe anajua uRais wa JMT bila kura za wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kutoka Zanzibar ni ndoto anajaribu kuwalea hata wakivamia visiwa vya Komoro hawezi kuwakoromea.
 
542944290.jpg
R-L: President Kikwete (Tanzania) with Iran's First VP, Mohammad Rahimi at The State House in Dar es Salaam. Photo by State House, May 30, 2012
images
images
images


Huu ndio uongozi wa Kikwete, pamoja na uhuru wa kutokuwa na uadui na taifa lo lote, lakini ikoje hii ya kwenda kinyume cha maazimio ya Baraza la umoja wa Mataifa? Tangu aje huyu Mwirani kuna siri iliyokuwepo hadi nchi za Magharibi kushtukia bendera ya Tanzania kupepea kwenye meli za mafuta
za Irani.
 
Tukifungiwa "misaada" tumekwisha!

Tanzania says investigating Iran tankers accusation


DAR ES SALAAM | Thu Jul 5, 2012 6:37am EDT

(Reuters) - Tanzania is looking into U.S. accusations it has reflagged oil tankers from Iran and would strip the vessels of the east African country's flag if that proved to be the case, the foreign minister said on Thursday.

Howard Berman, the ranking member of the U.S. House Committee on Foreign Affairs, has accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers, saying it was helping Iran evade U.S. and European Union sanctions aimed at pressuring Tehran to curb its nuclear programme.

He said Tanzania could face U.S. sanctions for the practice.

"If it is confirmed that the ships flying Tanzania's flag are indeed from Iran, we will take steps to deliberately obliterate the registration," Foreign Affairs Minister Bernard Membe told reporters.


Membe called on the United States and the European Union to cooperate with Tanzania to verify the origin of the oil tankers flying the east African country's flag.

Berman said the tankers were owned by the National Iranian Tanker Company.

"Tanzania is taking this investigation very seriously to verify whether or not Iranian ships are really using our flag," Membe said.

On Wednesday, Tanzania's neighbor Kenya cancelled an agreement to import 4 million metric tons (4.41 million tons) of Iranian crude oil per year because of sanctions against Iran.

(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by David Clarke and Alessandra Rizzo)

Reuters
 
Zanzibar government defends Iranian oil tankers` registration


The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers, saying it didn’t break any laws as claimed by a section of the international media early this week.

Zanzibar Infrastructure and Communication minister Hamad Masoud Hamad refuted reports that the Isles government had registered Iranian oil tankers as reported by Bloomberg News Agency early this week.

The minister admitted however that the said Iranian oil tankers were previously registered in Cyprus and Malta islands.
Briefing the House of Representatives yesterday, Hamad said the registered oil tankers were not covered by international sanctions imposed on Iranian ships by the European Union and the United States.

The minister stated that according to the Zanzibar Marine Transport AuthorityAct, number 3 of 2009, and the Zanzibar Marine Transport Act of 2006, the Isles government had full autonomy to register international ships.

According to the minister, Zanzibar entered into an agreement with a Dubai-based company, Philtex Ltd, to act as its agent in the registration of all international ships, known in the shipping industry as ‘open registry’

The minister added that open registry had been in effect since 2009, whereby a number of international cargo ships, oil tankers and passenger vessels were registered in Zanzibar.

Contrary to the media reports, the minister said, the vessels claimed to belong to Iranian authorities were in fact owned by British nationals living in the Virgin Islands and the Seychelles.
The minister warned against interference by the union government in the matter as promised by his counterpart, Dr Harrison Mwakyembe, saying marine transport in Zanzibar wasn’t a union affair.

Citing relations between Iran and Zanzibar, the minister said the two countries had strong ties, adding that that was why Iran’s vice-president recently visited the Indian Ocean archipelago to discuss how to strengthen the relations. He warned that Zanzibar wasn’t ready to be dragged into the ongoing conflicts between Iran and Western countries.

Speaking about the Iranian tanker flying the Tanzanian flag, the minister said since Zanzibar was part of the union, there was nothing wrong for vessels registered in the Isles to fly the union flag.

“But if the Tanzanian government won’t feel comfortable with the tankers flying the union flag we are ready to let them fly the Zanzibar flag
. This is no big deal and it should not be blown out of proportion,” the minister said.

On Monday, Bloomberg News Agency reported that NITC, an oil-tanker company owned by Iranian pension funds, renamed at least 10 of its vessels and switched them to flying the Tanzanian flag amid increasing curbs on transactions with the Persian Gulf nation.

NITC renamed five large crude oil carriers, each with a capacity to hold about 2 million barrels of oil, and five Suezmaxes, hauling 1 million barrels each, according to the Equasis shipping database maintained by the European Commission, Bloomberg reported.

Ownership was switched from NITC to new companies operating from the same address in Tehran and NITC remains the operator, the data show. All the ships were previously registered in Malta or Cyprus.

A European embargo on Iranian crude exports, which comes into effect on July 1, extends to insuring vessels that carry oil. Twenty-five NITC tankers are being used to store crude, the Paris-based International Energy Agency said on June 13, this year.

The US and Europe said Iran’s nuclear programme was aimed at developing atomic weapons while the government in Tehran says it is for civilian purposes.

Habibolah Seyedan, NITC’s commercial director, was unavailable for comment, said a person who answered a call to his office yesterday. The company lists 39 tankers on its website. Philtex Corp. operates the administrative office of the Tanzania Zanzibar International Register of Shipping from Dubai, according to the register’s website.

Source: The Guardian.

Inaelekea Membe hana habari nini kinaendelea nchini pengine anakaa nje ya Tanzania sana, maana angekuwa anafuatilia mambo ya nyumbani asingeleta hizo ngonjera alizohani
.

Mkuu ina maana hata magazeti hasomi ?
 
UPDATE 1-Tanzania says investigating Iran tankers accusation
Thu Jul 5, 2012 10:32am GMT
* U.S. committee says Tanzania risks sanctions

* Tanzania says taking investigation 'very seriously'

* Calls for U.S., EU help in investigations (Adds quotes, detail, background)

DAR ES SALAAM, July 5 (Reuters) - Tanzania is looking into U.S. accusations it has reflagged oil tankers from Iran and would strip the vessels of the east African country's flag if that proved to be the case, the foreign minister said on Thursday.

Howard Berman, the ranking member of the U.S. House Committee on Foreign Affairs, has accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers, saying it was helping Iran evade U.S. and European Union sanctions aimed at pressuring Tehran to curb its nuclear programme.

He said Tanzania could face U.S. sanctions for the practice.

"If it is confirmed that the ships flying Tanzania's flag are indeed from Iran, we will take steps to deliberately obliterate the registration," Foreign Affairs Minister Bernard Membe told reporters.

Membe called on the United States and the European Union to cooperate with Tanzania to verify the origin of the oil tankers flying the east African country's flag.

Berman said the tankers were owned by the National Iranian Tanker Company.

"Tanzania is taking this investigation very seriously to verify whether or not Iranian ships are really using our flag," Membe said.

On Wednesday, Tanzania's neighbour Kenya cancelled an agreement to import 4 million tonnes of Iranian crude oil per year because of sanctions against Iran. (Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by David Clarke and Alessandra Rizzo)


Madili ya nani tena haya - ni Rostam tena nini?
 
Maskini kabisa!! Sasa anachunguza nini? Ushahidi wote uko wazi, hadi meli zimepigwa picha, yeye ndio analipuka na uchunguzi!!! Kama kawaida ya Tanzania - Ulaji mwingine huo!! Utasikia "Tunaunda tume".
 
Kwa kumrahisishia, Membe apande boti aende Zanzibar kwenye baraza la wawakili na aombe kupitia hansard za BLW.
 
Ila Zanzibar wanajribu kwa kila hali kujaribu kuuvunja muungano!
Kama mlizisajiri kwa nini hamkuzitwika bendera yenu mkijua wazi kuwa mambo ya bandari si ya muungano kama alivyosema Waziri Mwakyembe.
Something fiscious apa Membe kuwa makini wakubwa wanajua kinachoendelea usilete blah blah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom