hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,538
Jaman nashindwa kulala yan anakoroma kama jenereta on to of dat mdomo uko waz afu analala na mgongo
nlienda kuomba ushauri kwa mmoja akaniambia wake yeye anakwaruza meno kama vile mbwa mwenye kucha ndefu anavyokwaruza tiles!
Yan akishaanza sifungi jicho mpaka morning plz help!