Mithali 17:17a
Rafiki hupenda sikuzote
*kushiriki siku ya Valentine kwa mkiristo ni ishara kuwa hujamjua Kristo bado*
Nikitumia kigezo kilekile ambacho msingi wa watu wengi hujitetea kuwa, *siku ya valentine ni siku ya kuonesha upendo kwa ndungu, jamaa na rafiki*
Bado ntakwambia iko shida kwenye ufahamu wako,
kwanini:-
Je hujui kuwa Mungu amegiza tupendane sisi kwa sisi siku zote?
*1 Yohana 4:7-21*
Upendo wa kiMungu wa dhihirika siku zote, haungoji tarehe 14 february ya kila mwaka
*Bila shaka siku ya valentine ni namna ya kudhihirisha kaupendo fulani kageni (?????) huwa kanaadhishwa hapo* kwasababu upendo wa kiMungu haungoji tarehe wala mwezi bali ni mda wote.
Kataa kuingizwa mjini na shetani mchana kweupe,
Warumi 1:16.
Kuiadhimisha kitu usichofahamu msingi wake, ni zaidi
ya ujinga, ukilijua hili hayo ndo maarifa.
*Biblia inasema mjinga huamini kila neno* mithali 14:15
Usiwe mjinga mtoto wa Mungu eti kwasababu ulimwengu mzima unasherekea kwa kuvaa nguo nyekundu nawe uungane nao.
Yeremia 31: 3 Bwana alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.
Sent from my iPhone using JamiiForums