View attachment 1031585
Wakati huo huo Wamarekani wenye asili ya Israel wanakosa amani kutoka kwa Mbunge Huyu Mkimbizi kutoka Somalia.
Asili yake ni kutoka Central Somalia
View attachment 1031585
Wakati huo huo Wamarekani wenye asili ya Israel wanakosa amani kutoka kwa Mbunge Huyu Mkimbizi kutoka Somalia.
Asili yake ni kutoka Central Somalia
Yananihusu Wasomali Wanachukia Judeo Christianity halafu wanapenda sana kuwa Abused na warabu.
Tz hatatokea rais JUHA wa kufanya hayo utakayo Tz siku zote ni watu polite sanaaaAcha wafukuzwe tuni vyema hata wangepigana vita sie tukafaidika kwa kuwapa chakula kama walivyotufanyia enzi za IDD AMIN
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.