Somalia: Submarines za wakubwa mbona haziji kula kazi ?

Iga

Senior Member
Dec 17, 2007
112
6
Submarines za Uingereza, Marekani, Urusi, India, Uchina na NATO ziko wapi ? Mbona hazipangiwi zamu pale Somalia ili kumaliza mzizi wa fitina wa wateka nyara meli au mapairetii ?

Hivi ni kweli askari wa wakubwa wakija pande hizi wanakuja kustarehe BIIIICHI ndani ya bahari na ndio maana wateka nyara wanawapiga harusi na chenga za maudhi ????
 
Hakuna economic potential kubwa kwenye cost of east Africa ndio maana unaona wakubwa wamechukua muda kuja.
America hawaingii mahala kama hakuna interest zao, pirates waliacha kucheza na meli za america tangu 1800s huko wakati walipochapwa kipindi hicho walikuwa ni wa Morroco, Algeria na wengine waishio kaskazini mwa Africa. Lakini sasa tutaona mabadiliko makubwa sana, lakini hata hivyo Marekani inawaangalia wasomali kwa karibu tangu kuangushwa kwa Black Hawk Down 1993
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom