Somalia: Shehena za mabomu ziliyokua zinakwenda kwa Al-Shabaab zakamatwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Magaidi wa kidini wa Alshabaab wamekosa shehena za mabomu walizokua wanaletewa waendelee kujilipua.

=======

Somalia's National Intelligence Agency (NISA) on Thursday said that it had seized two illicit shipments of military hardware and explosive materials that were apparently bound for the al Shabaab militant group.

At a news conference in Mogadishu, Somalia's State Minister of Defense Mohamed Ali Haga said the agency found the arms at Mogadishu's port and airport.

"At the port of Mogadishu, NISA personnel discovered a shipment of military hardware and explosive materials concealed within containers posing as authorized business imports," Haga said.

"Our forces have also seized military equipment at Mogadishu's Aden Ade International Airport,” he added.
A statement from NISA said an investigation relating to the illicit shipments led to the arrest of 10 individuals associated with a smuggling network.

"Our agency has been following the activities of these individuals in Somalia and outside Somalia," Haga said.

"It has been following their involvement in this smuggling network. Fortunately, all of them are in custody, and none has escaped," he further said.

Neither Haga nor NISA gave further details on the components of the seized shipments, where they were from, or the identities of those involved.

Arms embargo

The UN Security Council imposed an arms embargo on Somalia in 1992 because of a civil war and factional violence.

The country has an unguarded coastline that's more than 3,000 kilometres in length and open borders.
Following the establishment of a functioning transitional government in 2012, the successive governments have been working to rebuild stability, good governance and other benchmarks that would help the country's arms embargo be eased.

In 2013, the security council unanimously voted to partially lift its ban on selling arms to Somalia for a year.
The resolution allowed Somalia's government to buy small arms to help its security forces develop and fight the Islamist militants, but kept restrictions on heavy weapons.

The remaining sanctions, which require requests for certain weapons to be approved, are renewed annually, despite government objections that al Shabaab still seriously threatens peace and stability in the region, and sanctions are needed to degrade its activities.

The government's stance is backed by Ethiopia and Uganda, both of which have suffered al Shabaab attacks.
The government of President Hassan Sheikh Mohamud has for months been engaged in an offensive against al Shabaab, including efforts to shut down its financial network and a campaign to counter the group's ideology.

The East African
 
al-Shabaab ni kundi hatari sana!
..100 Killed In Twin Car Blasts In Mogadishu Somalia.
At least 100 people were killed and 300 injured in two car bombs.
1684553361102.png
 
Safi sana
Kwa sasa Mogadishu wameamua kuwamaliza na wengi wameuwawa

Wanafuata mwenendo wa Somaliland wao walikataa kabisa ushenzi wa hao vijana
Alshabab ni genge la wabakaji na wauwaji na wataisha hata Mogadishu
 
Magaidi wa kidini wa Alshabaab wamekosa shehena za mabomu walizokua wanaletewa waendelee kujilipua...

Somalia's National Intelligence Agency (NISA) on Thursday said that it had seized two illicit shipments of military hardware and explosive materials that were apparently bound for the al Shabaab militant group.

At a news conference in Mogadishu, Somalia's State Minister of Defense Mohamed Ali Haga said the agency found the arms at Mogadishu's port and airport.

Swali la kujiuliza mzigo umetoka wapi? Nchi gani imewauzia hizo siraha??.

Hii double standard africa tusipoamka kujipambania wenyewe hakuna wakutupambania.

Mfano urusi anagombana na ukraine ila wamepiga marufiku nchi yoyote kuiuzia siraha urusi au kuipa msaada.

Lakini somalia watu wanauana ila hakuna tamko kutoka popote ambalo linazuia kuingia siraha sudani Ili kukomesha mapigano.Zaidi wanauza siraha wanaendelea kutengeneza profits.

Muhisiku wa dili hizi anajulikana ila hata mleta posti hii nishabiki kindakindaki wa huyo jamaa.
 
Tuanze kwa kujikomboa kutoka kwa dini inayosababisha tuuane....silaha haziui watu, ila watu huua watu...
 
Magaidi wa kidini wa Alshabaab wamekosa shehena za mabomu walizokua wanaletewa waendelee kujilipua.

=======

Somalia's National Intelligence Agency (NISA) on Thursday said that it had seized two illicit shipments of military hardware and explosive materials that were apparently bound for the al Shabaab militant group.

At a news conference in Mogadishu, Somalia's State Minister of Defense Mohamed Ali Haga said the agency found the arms at Mogadishu's port and airport.

Somalia's National Intelligence Agency (NISA) on Thursday said that it had seized two illicit shipments of military hardware and explosive materials that were apparently bound for the al Shabaab militant group.

At a news conference in Mogadishu, Somalia's State Minister of Defense Mohamed Ali Haga said the agency found the arms at Mogadishu's port and airport.

"At the port of Mogadishu, NISA personnel discovered a shipment of military hardware and explosive materials concealed within containers posing as authorized business imports," Haga said.

"Our forces have also seized military equipment at Mogadishu's Aden Ade International Airport,” he added.
A statement from NISA said an investigation relating to the illicit shipments led to the arrest of 10 individuals associated with a smuggling network.

"Our agency has been following the activities of these individuals in Somalia and outside Somalia," Haga said.

"It has been following their involvement in this smuggling network. Fortunately, all of them are in custody, and none has escaped," he further said.

Neither Haga nor NISA gave further details on the components of the seized shipments, where they were from, or the identities of those involved.

Arms embargo

The UN Security Council imposed an arms embargo on Somalia in 1992 because of a civil war and factional violence.

The country has an unguarded coastline that's more than 3,000 kilometres in length and open borders.
Following the establishment of a functioning transitional government in 2012, the successive governments have been working to rebuild stability, good governance and other benchmarks that would help the country's arms embargo be eased.

In 2013, the security council unanimously voted to partially lift its ban on selling arms to Somalia for a year.
The resolution allowed Somalia's government to buy small arms to help its security forces develop and fight the Islamist militants, but kept restrictions on heavy weapons.

The remaining sanctions, which require requests for certain weapons to be approved, are renewed annually, despite government objections that al Shabaab still seriously threatens peace and stability in the region, and sanctions are needed to degrade its activities.

The government's stance is backed by Ethiopia and Uganda, both of which have suffered al Shabaab attacks.
The government of President Hassan Sheikh Mohamud has for months been engaged in an offensive against al Shabaab, including efforts to shut down its financial network and a campaign to counter the group's ideology.

The East African

"Paul Mackenzie ni gaidi kama Alshabab", William Ruto.
 
ila yeye hakukuta watu wanaishi maisha yao na kuwalipua mabomu, hao walikwenda kwake kwa ujinga wao, kwa kifupi usilazimishe watu dini, wacha wakufuate kwenye uzombi wako.
Nyie na mikanzu yenu mnataka kila mtu afuate huyo mwarabu.
 
W, Ruto ni rais wa Alshabab??-- kasema paul Mackenzie ni sawa na Alshabab, sasa nenda ikulu ya Nairobi na umwambie maneno haya; "Muheshimiwa raisi acha kusema uongo". 🤣
 
Mnawakuta watu sokoni wanauza na kufanya yao mnawalipikua mabomu kisa muarabu aliwaagiza kabla hajajifia.
Haya mambo ya dini kama mtu anataka afe muache ajilete lakini sio wewe uende kumlipukia...hehehe

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
"Mchungaji Paul Mackenzie ni kama Alshabab"--By William Samwel Ruto the Kenya president.
 
mwarabu wenu aliwaponza, mbadilike muache kuchinja waafrika wenzenu

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Swali la kujiuliza mzigo umetoka wapi? Nchi gani imewauzia hizo siraha??.

Hii double standard africa tusipoamka kujipambania wenyewe hakuna wakutupambania.

Mfano urusi anagombana na ukraine ila wamepiga marufiku nchi yoyote kuiuzia siraha urusi au kuipa msaada.

Lakini somalia watu wanauana ila hakuna tamko kutoka popote ambalo linazuia kuingia siraha sudani Ili kukomesha mapigano.Zaidi wanauza siraha wanaendelea kutengeneza profits.

Muhisiku wa dili hizi anajulikana ila hata mleta posti hii nishabiki kindakindaki wa huyo jamaa.
Al Shabaab wanapokea msaada mkubwa kutoka Qatar, hii sio siri mbele ya serikali zote za Somalia zilizopita.

Waliopiga marufuku Urusi isiuziwe silaha ni Ulaya, sio Africa. Na sisi Africa tujipiganie sio kila siku kujiliza, AU si wakae wapige marufuku na kufanya enforcement ya kitu fulani.

Mhusika ni Mwafrika kama wewe, hakuna mzungu utamwambia anzisha kundi la kujilipua nchini kwenu akafanya hivyo miaka zaidi ya 30. Siku Afrika ikiacha upumbavu wa kulalamikia wengine kwa makosa yao ndio itaachana na huu upuuzi, mabomu avae Msomali ajilipue alafu atafutwe mtu wa nje kulaumiwa?
Hao watu wa nje mbona wana tani na tani za mabomu na ndio wanatengeneza hadi kuuza Somalia ila wao hawajilipui mitaani kwao.

Vitu vingine ni trade, ukiona kwako mabomu na milipuko ni vitu vya msingi kununua unanunua, mzungu akiona dhahabu ni kitu cha msingi atanunua aweke reserve. Huu ni ulimwengu huru, mpaka pale ukizleta uhayawani ndio wanakuja kukupangia sasa usinunue
 
Ujumbe wa mdau hapa chini kuhusu Mogadishu. Kuna mtu alimuuliza kwenye group

Kaka yangu

Mogadishu sasa inakua kwa kasi

Nikikuonyesha picha za 2013 nilipoingia mara ya kwanza ilikuwa magofu na rubbles!

Sasa hivi inakua kwa kasi kwa sababu wana Diaspora kubwa sana nyenye pesa nyingi

Hawana masharti mengi wala kodi

Hata sisi watanzania tulioko huko tunaona kununua vitu huko kama (TV na Kitchen Appliances , Lap Tops, mabegi mobile phones, etc) ni cheaper kuliko kununua Dar

Airport ya Mogadishu iko Busy may be 10 times ours. Inafikia hali ndege zinaelekezwa kuzunguka angani kusubiri nafasi ipatikane zitue. Karibu mashirika makubwa mengi ya ndege yana safari za Mogadishu. (Isipokuwa British Airways na Ndege za Marekani) kwa sababu hao wanachukiwa sana na wasomali....🤣🤣🤣

Restaurent ni nyingi sana na bora. fast foods na home delivery kama kazi.

Hawa Jamaa wasipofumuana tena, in 5 years to come atatuacha mbali! Why?

Diaspora

Exposure

Free economy (Sisi hapa, Over regulation na Over Taxing za Tanzania are killing the Business!)

Somalis are shroud business people. (Wana Uthubutu na ni Enterpreneurs wazuri)

Karibu Mogadishu. Naenda huko next week!
 
Back
Top Bottom