Somalia, nchi inayopiga marufuku kusherehekea Krismas, yapanga kuomba kuingia EAC

Watu waelewe kuwa, suala la Somalia kupiga marufuku krismas ni dosari isiyosameheka kwenye jumuiya ambayo inajipambanua kuwa inawapa watu wake Uhuru wa kuabudu.
 
OK, kwa nini wasipige marufuku Idd? Bado huoni tatizo? Kama 98% ni waislam wanaogopa nini kutoa uhuru wa kuabudu watu wake 2%? Umesema ulaya wanaipa kisogo. Je umewahi kusikia wakiipga marufuku au hata hiyo Idd? Think out of the box.

Hii maana yake ni kuwa Somalia bado haijastaarabika.

Labda wewe ndiyo haujastaarabika, kila kitu kipo wazi nimesema zaidi 98% ya Wasomali ni Waislamu, sasa kwa nini washerehekee Krismasi? Kama kuna hitaji la Wakristo nchini Somalia basi watakuwa hawana budi kuruhusu lkn hakuna hilo hitaji sasa washerehekee Krismasi kwa ajili ya nani? Mbona Ulaya hawasherehekei sikukuu za Kibudismu au Kihindu?
 
Ha ha ha...Kenyans bwana! So now you are tired of your friends to such an extent you are looking for someone to share them with?!

We have got enough of Somalis through Kenya, share the rest with Americans
 
Labda wewe ndiyo haujastaarabika, kila kitu kipo wazi nimesema zaidi 98% ya Wasomali ni Waislamu, sasa kwa nini washerehekee Krismasi? Kama kuna hitaji la Wakristo nchini Somalia basi watakuwa hawana budi kuruhusu lkn hakuna hilo hitaji sasa washerehekee Krismasi kwa ajili ya nani? Mbona Ulaya hawasherehekei sikukuu za Kibudismu au Kihindu?
OK kama 98% wanaogopa imact ya below 2% kiasi cha kutoa tamko la kupiga marufuku huoni hao wana shida kichwani?

Naamini wewe ni Mtanzania na unaelelewa kuwa kuwa nchini kwetu mbali ya Wakristo kuna watu wa imani mbalimbali wakiwemo wapagani.

Hivi unadhani baada ya uchaguzi katika awamu ya pili kwa nini Kikwete alilalamikia suala la udini? Je unadhani alilenga Wabudha? Bila shaka alilenga ama wakristo au waislam. Ni kwa kuwa alikuwa anaami kulikuwa na athari kuhusiana na matokeo ya uchaguzi kwamba yaliathiriwa na upande mmoja.

Sasa somalia tamko linalohusu wananchi chini ya 2% lina tija gani? Taifa kama hili huoni bado linahitaji kuangaliwa upya? Ulaya hawasherehekei ubudha au uhindi. Lakini pia hawajaupiga marufuku.
 
Una kichwa kizito kiasi unaharibu barabara zetu kila unaposafiri kwa basi.

Hakuna aliyesema Wasomali walazimishwe kusheherekea Xmass, bali wasiwazuie wanaotaka kusherekea na washerekee.

Hata hawa Wakenya ni kale tu kauroho ka kupata fursa ya kuuza Blue Band Mogadishu, lkn they know for sure kuwa huto tudemu twa Kikikuyu tunakopenda kwenda manjiani half naked hatuwezi kwenda sawa na Wasomali.
 
Kwani wewe neno kupiga marufuku unalielewa vipi?
 
Waje wote tu, hata batoto Bakongo (DRC) wamekawia sana..
Krisimasi isiwe issue, binafsi nimesheherekea Krisimasi Zanzibar na hofu niliyokua nayo ya kumwagiwa tindi kali ikatokea kuwa ujinga wangu tu maana Wazenji ni watu wakarimu sana. Pia wao wameserebuka sana kwenye Krisimasi.

Wasomali ni watu wenye bidii sana, napenda wanavyojituma, haya masuala ya dini ndio yanawaangusha na kuwachelewesha. Yaani dini inafaa kuleta amani lakini inakua ndio chanzo cha mauaji na mateso.

It's far better to invite Malawi, DRC, Zambia, Zimbabwe and Mozambique to join the East African Community than allowing Somalia. Few Somalis who were granted citizenship and currently are stationed in Tanga region have caused havoc in this area, several innocent indigenous citizens have been massacred by these immigrants. However our galant forces did their job commendably.
 
Una kichwa kizito kiasi unaharibu barabara zetu kila unaposafiri kwa basi.

Hakuna aliyesema Wasomali walazimishwe kusheherekea Xmass, bali wasiwazuie wanaotaka kusherekea na washerekee.

Hata hawa Wakenya ni kale tu kauroho ka kupata fursa ya kuuza Blue Band Mogadishu, lkn they know for sure kuwa huto tudemu twa Kikikuyu tunakopenda kwenda manjiani half naked hatuwezi kwenda sawa na Wasomali.

Ili uruhusu wanaotaka kusherehekea si ni lazima wawepo? Na kwa kusema kuruhusu umaanisha nini? Au unafikiri wakisema hawaruhusu Krismasi unafikri Mkristo akisherehekea nyumbani kwake atanyongwa? Ninyi ndo wagumu kuelewa, kwa kupiga marufuku maana yake ni kwamba Krismasi haitambuliki kama sikukuu ya Kitaifa nchini Somalia na sababu ni kwamba > 98% ya wakazi wa Somalia ni Waislamu, sasa ni kipi kigumu kuelewa hapo?

Hivi mbona haulalamikii Uchina kupiga marufuku Krismasi au Iddi? Lakini mbona kuna Wakristo na Waislamu wengi tu wanaishi na kufanya kazi Uchina? Vile vile Suadia au hata nchini Cuba Krismasi imepigwa marufuku lkn mbona kuna watu wanaishi huko Wakristo? Kuna Watanzania wamesoma Cuba mbona hawakunyongwa kwa kusherehekea Krismasi?
 
Zanzibar 98% are Muslims, kama ilivyo Somalia, mbona Zanzibar hawajapiga marufuku sherehe za dini yeyote hata za kipagani? Comoro 99% are Muslims, mbona husikie kelele kama za Somalia? achana na Somalia mpaka hicho kizazi cha siasa kali kifutike.
 
Hakuna nchi inayoitwa Zanzibar Dunia hii, kuhusu Komoro sijui huo ni uamuzi wao, lkn Cuba wamepiga marufuku Krismasi, Uchina, Saudi pi Krisamsi ni marufuku mbona watu wa Dini nyingine wanaishi na kufanya kazi huko? Kwanza hata nchi ya Uingereza ambayo ndiyo moja kati ya walioleta Krismasi Afrika ilishawahi kupiga marufuku Krismasi mbona hilo huliongelei nakusema wana siasa kali?
 
Muanzisha mada kunakitu unajaribu kukisema ila unashindwa..we nenda DIRECT KWNY POINT YAKO..
 
Unapiga marufuku kwa kuwa umeweka imakini juu ya jambo Fulani. Kama unaona jambo hilo ni threat kwako au jamii inayokuzinguka.

Kupiga marufuku ni kutokuruhusu jambo fulani kufanyika basi ni rahisi kihivyo tu, hivyo kama Krismasi haisherehekewi Kitaifa nchini Somali ina maana imepigwa marufuku sujui ni kipi kigumu kuelewa hapo!
 
Barbarosa na ujue zaidi ya 80% ya afrika mashariki ni wakristo. How are they going to freely move to somalia and interact kama hawaruhusiwi kabisa kuobserve sikukuu zao?
 
Wazungu wenyewe waliotuletea Krismasi wanaanza kuipiga marufuku polepole, ije kuwa Somalia? Kwani tatizo ni nini? Si ni nchi yao? Zaidi ya 98% ya Wananchi wa Somalia ni Waislamu hivyo hakuna atakayedhurika, binafsi napendekeza Somalia iingie AM, kwani Wasomali watatusaidia sana kuijenga AM kiuchumi, Wasomali ni jamii ya watu wanaojiamini na wanaojituma sana na wakitulia na mambo ya yakipoa Somalia hakuna nchi ya kushindana na Somalia kiuchumi hapa Afrika hata Wazungu wanalijua hilo na ndiyo maana hawataki Somalia itulie!
Mkuu hapa nimekuna kichwa kweli, nimeiona point yako. Nakubaliana na wewe kabisa. Inaonekana Strategically Somali ipo pazuri, halafu ni kweli hawa jamaa wanajituma si mchezo. Ndio maana wazungu hawataki itulie Somalia.
 
this is stupid..what does religion or holidays have to do with trading blocs? the most notable obstacles that Somalia faces is not that it is a Muslim nation and therefore cannot celebrate Christmas but the issue of stability and security.
 
Kupiga marufuku ni kutokuruhusu jambo fulani kufanyika basi ni rahisi kihivyo tu, hivyo kama Krismasi haisherehekewi Kitaifa nchini Somali ina maana imepigwa marufuku sujui ni kipi kigumu kuelewa hapo!
Don't fool yourself Mamarosa! Diwali haisherekewi kitaifa Tanzania, lkn serikali ya Tanzania haijawapiga marufuku Wahindi kusheherekea Diwali.

Unajitoa fahamu kwa faida ya nani?
 
Once Edwin Mtei suggested this!!!
We need Somalia/Ethiopia too!
Why not?

It will not be fair to exclude Somalis in our community.
While South Sudan is more fragile than Somalia, yet invited.

Somalians seems to be very energetic, perhaps this is the way forward to stimulate and accelerate EAC kiuchumi. Somalis have culture of spending, hawana ubahili. Ni jamii inayopenda kuona mzunguko wa pesa.

Tumeona Mataifa mengi ikiwa pamoja na jumuia ya Ulaya, Marekani yameanza kutengeneza uhusiano wa kudumu wa kibiashara na Wasomali, na hata kuwapa na kushika nafasi muhimu katika nadhifa mbalimbali Marekani na Ulaya, yote kwa ajili ya kipaji Wasomali walichokuwa nacho.

Wana uwezo mkubwa sana Kibiashara.

Suala la Kristmas, Somalia ni nchi ya Kiislam kwa asilimia 100%.
Nchi nyingi zote za Kusini hazijaidhinisha Eid sikukuu ya Waislam kuwa siku ya Mapumziko.

Wakawekea hilo kama ni shuruti ni sawa na Ubaguzi.

Afrika ya Kusini chini ya Utawala ya Waafrika, walitaka kuiondoa Siku kuu ya Xmas na kuifanya iwe siku ya kawaida ya mapumziko kwa watu wote. Wakisema nchi yao sio nchi inayoendeshwa na katiba ya kidini. Na kama kuiweka Xmas basi pia sikukuu za dini za Kiafrika au Zakiutamudi pia zipewe haki zao na kupata mapumziko. Na pia Waislam, Mabaniani na Mayahudi wapewe mapumziko kwenye sikukuu zao. Hiyo ndio haki.

Biashara haigombi.

Wasomali Mnakaribishwa. Sema tunaomba Muzingatie sheria za Uhamiaji na pia tunawakbusha miraa imepigwa marifuku Tanzania.
bf3f60cf3ac3b1d2abd2f7908f958b0e.jpg

Ukisikia Marekani wanawakaribisha Somalia mezani, kuna mawili:
1. Usalama wa Marekani
2. Biashara ya silaha

Tayari umeanza kwa kuwaonya juu ya miraa, ina maana umeshaanza kuelewa kuwa kuna mambo ya kijamii tunapishsna. Basi usidhani yanaishia hapo: kule kwao kuna utaratibu wa mtu kucharazwa bakora kisa, nguo yake.

Nayajua yaliyo mioyoni mwenu, yanawafanya mpk mnasahau kwamba ktk hali yeyote unatakiwa uweke mbele utaifa wako kwanza.

Nani so far keshawahi kufaidika na nini stika Somalia?
 
Back
Top Bottom