Soma vitabu hivi ujue historia ya tanu na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,888
30,233
SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA

Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA baada ya Vita Vya Pili Vya Dunia?

Unajua sababu ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir kuwa mmoja wa wajumbe wa TAA Political Subcommitee mwaka wa 1950?

Unajua kwa nini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU alikuwa Sheikh Suleiman Takadir mwaka wa 1954?

Unajua kwa nini hadi leo historia ya TANU bado haifahamiki vyema na kuwa sababu ya kutowaenzi mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika?

1630700444672.png
 
Pablo,
Elite Bookshop Mbezi Samaki
Tanzania Publishing House Samora Avenue
Soma Bookshop Mikocheni
Ibn Hazm Media Centre Kariakoo na Kinondoni
ntaleta mrejeshoo.....andika makala kuhusu uislamu na ugaidi wa hamza.je uislamu unaruhusu ugaidi?
 
Pab

Pablo...
Hiyo hapo paper niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka 2006 kuhusu Uislam na Ugaidi:

ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT​

ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
8th– 10th FEBRUARY 2006

Venue
University of Ibadan Conference Centre
Organised by Department of Arabic and Islamic Studies

UNIVERSITY OF IBADAN
NIGERIA

‘TERRORISM’ IN EAST AFRICA
The Tanzanian Experience

Speaker

Mohamed Said

Ingia kwenye hii link hapo chini:

Back
Top Bottom