Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,022
- 54,306
Mwaka Wa Uchaguzi Huu Usilaumu Kila Mtu Wengine Ni Wa Tia Nia Huko Na Mambo Mengi Sana Bado 😀😁😂Mkuu naona Ni Kama una stress. Umesoma comment vzr wewe?? Nimesema na mm Ni graduate, sijaonja hata sec. 1 ya u-jobless kwa sababu nilikuwa mwoga wa maisha Baada ya chuo, nilichokifanya nikajichanga kwa kujinyima ili nitoke na mtaji wa kunzia maisha.
Mkuu utakuta eti na wewe una demu?? Una mmomonyoko wa ubongo mkuu