soma unisaidie (vichwa tuu)

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,375
13,321
guys niaje ! nimepokea mail inantaka nimtengenezee mtu slogan itayotumika sherehe za TRA siku ya kodi tarehe 21/10/2011.nilitunga hizi wamezikataa na kunipa deadline kesho jion.
1) KODI NI MABEMBELEZANO YA WATOZAJI NA WALIPISHAJI
2 ) ASIE LIPA KODI NA ASIPIGE KURA
WAMEZIKATAA KABISA HEBU WAUNGWANA NIPENI MAAIDEAL MI NIMEZOEA ZA BIASHARA HIZI ZINANISUMBUA.

1.mzalendo halisi ni mlipa kodi

2.Uhuru halisi ni kulipa kodi.

3.Lipa kodi uboreshe huduma za jamii.

4.Kutolipa kodi ni ufisadi.

Nasubiri dau langu,lazima moja ichaguliwe hapo.

guys niaje ! nimepokea mail inantaka nimtengenezee mtu slogan itayotumika sherehe za TRA siku ya kodi tarehe 21/10/2011.nilitunga hizi wamezikataa na kunipa deadline kesho jion.

1) KODI NI MABEMBELEZANO YA WATOZAJI NA WALIPISHAJI

2 ) ASIE LIPA KODI NA ASIPIGE KURA

WAMEZIKATAA KABISA HEBU WAUNGWANA NIPENI MAAIDEAL MI NIMEZOEA ZA BIASHARA HIZI ZINANISUMBUA.

Unamaana gani kwa kusema vichwa tu ndo wachangie thread yako? Kwa ulichokiandika hapo juu Wewe tukuweke kundi gani? Kichwa au....?

MZALENDO WA KWELI HUBORESHA MAISHA YAKE NA YA JAMII,LIPA KODI UBORESHE HUDUMA ZA JAMII .,hapo vipi...:peace:

Unamaana gani kwa kusema vichwa tu ndo wachangie thread yako? Kwa ulichokiandika hapo juu Wewe tukuweke kundi gani? Kichwa au....?
Masaburi....

Lipa kodi, jenga nchi yako..
Nchi inajengwa na walipa kodi..
Penda nchi yako, jenga nchi yako, lipa kodi kwa wakati...

aahhh ..... hawa TRA hawana urafiki na mtu wala hawana ahsante na mlipa kodi ..... they just want revenues even if you don't make sufficient profit

i hate TRA

Unamaana gani kwa kusema vichwa tu ndo wachangie thread yako? Kwa ulichokiandika hapo juu Wewe tukuweke kundi gani? Kichwa au....?

yeye atakuwa mkia la sivyo angefanikiwa katika hilo deal.

Asiyelipa kodi ahame nchi.

hii mama ni kitu ambacho ni kigumu hujui kuwa kuanzia mimba mpaka maiti zinalipa kodi..

hapa ni hawa tra ndio watueleze hela zetu wanazipeleka wapi na hii slogan wanayo itaka watumie ile ya mwaka 96 ndio inafaa..

Hivi hizo slogan hasa ni za kuuzia sura au inatakiwa iwe na uhalisia wa maisha ya huyu mlipa kodi? na ina maana taasisi nzima hawajui kodi zetu zinatumikaje hadi watafute slogan za kununua? kweli hii inathibitisha kodi zetu ni mradi wa vigogo!

mpeni kaisari yaliyo yake kaisari lipa kodi kwa manufaa ya taifa

Hakuna hata moja inayoweza kueleweka masikioni mwa Mtanzania, kwani UNALIPA KODI INAFISADIWA, sasa jenga nchi wakati maisha magumu!!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom