Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,007
- 5,446
Mpaka sasa tushapigwa tatu bila na wanawake hakuna akili kubwa wala kisoda banaEndelea kusubiria matokeo baada ya maamuzi yako mkuu. Utalipwa kwa shughuli uliyoitenda!
N.B: Wanawake wote niwakuishi nao kwa akili kubwa sana