Soma meseji hizi kati ya Mume na Mke waliofunga Ndoa ya Serikali kisha tafakari

Ni wanandoa. Wamefunga ndoa ya serikali. Ila mwana mama anataka wa upgrade ndoa waende kufunga ndoa ya kanisani.

Inaonekana wanaishi kwa amani tu. Ila mke hajaridhika na ndoa ya serikali. Anaona haina baraka za mungu.
Hii hali ndo inayoendelea kwa upande wangu ,mke kalazimisha tukafunge ndoa ya serikali Baada ya Mimi kugoma kabisa kubadili dini na yeye hataki kubadili,baada ya ndoa kaanza vijimaneno maneno kutaka eti twende kanisani,mara ndoa haikuwa na sherehe watu watajuaje kama yeye ni mke wa Fulani ,nikamwambia utajijua hapa hakuna cha kanisani Wala upuuzi gani,huridhiki na hii ndoa nenda mahakamani kadai talaka ,kwanza yeye ndo alitaka ndoa sijui apate uhamisho halafu anaanza kunletea kelele ,nimempotezea nishamzalisha watoto watatu ,mambo mengine atajijua mwenyewe sitaki stress
 
Huyo mwanamke ni kauzu sana lol,
Afu mwanaume yupo km zoba flan iv. Hahahah
 
Back
Top Bottom