Soma meseji hizi kati ya Mume na Mke waliofunga Ndoa ya Serikali kisha tafakari

Ndoa ni makubaliano baina ya pande mbili.. na inaonekana alimkubalia hio ndoa ya serikali pamoja na mambo mengine.. sasa asianze kulalamika.. inabidi tu akinywee hiko kikombe, akaze mkanda atafute namna nyingine ya kusolve hilo tatizo.
 
wanachati kibandidu loooh! Hz ndoa jaman ifke mahali watu watambue s shuruti ni hiari, maaana s kwa hvyo vta.🤓
 
Hiyo sio ndoa , ni mkusanyiko wa masela wawili!
Its like soccer game in grammar school , where everyone is gong for the ball and nobody is holding his position.
Tunapoelekea ndoa zineza kuwa za mikataba kama ulaya .
Yaani hamna anayejishusha, mke naye ni kauzu huyo sijui hata waliokotana wapi?🤭
 
Hii ajabu hii.

Yaani mwamba ndo anataka ndoa halafu bibie hataki ni mpaka atakapoamua yeye.
Ama kweli kina mama mmeshika mpini mwaka huu😁😁

We mleta uzi hebu edit hapo uweke sawa ke ni yupi na me ni yupi watu tunalishana matango pori hapo.
 
Tatizo wanandoa ni wachoyo, hawasimulii Raha wanazopata ndoano...kikiumana ndio wanakuja kusimulia
Ila ndoa tamu nyiee
Tatizo hawa ambao wameoa sisi ambao tupo nje ya ndoa tukianza lalamikia harakati za maisha na machungu yake, wanaanza kusema "Yaani bora hata wewe hujaoa"
 
Eeeh! Kwani huyo mwanamke ni wadhahabu mbn anabembelezwa hivyo wakati wamejaaa atakapo chelewa atajijua move on kijana
 
Back
Top Bottom