Soma meseji hizi kati ya Mume na Mke waliofunga Ndoa ya Serikali kisha tafakari

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
2,790
2,000
Hii ajabu hii.

Yaani mwamba ndo anataka ndoa halafu bibie hataki ni mpaka atakapoamua yeye.
Ama kweli kina mama mmeshika mpini mwaka huu

We mleta uzi hebu edit hapo uweke sawa ke ni yupi na me ni yupi watu tunalishana matango pori hapo.
Mwenye simu kaingia kwenye uwanja wa msg ili amtumie mama watoto, Nahisi maandishi ya kulia (blue) ni Me Na Kushoto (black) Ni "Mama Watoto"

"Mama watoto" Inaonekana Hataki Ndoa
Screenshot imepigwa toka simu ya Me
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
2,182
2,000
Mwenye simu kaingia kwenye uwanja wa msg ili amtumie mama watoto, Nahisi maandishi ya kulia (blue) ni Me Na Kushoto (black) Ni "Mama Watoto"

"Mama watoto" Inaonekana Hataki Ndoa
Screenshot imepigwa toka simu ya Me
Yaah ndo ivo anaelalama ni Me
 

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,497
2,000
Ni wanandoa. Wamefunga ndoa ya serikali. Ila mwana mama anataka wa upgrade ndoa waende kufunga ndoa ya kanisani.

Inaonekana wanaishi kwa amani tu. Ila mke hajaridhika na ndoa ya serikali. Anaona haina baraka za mungu.
Hii hali ndo inayoendelea kwa upande wangu ,mke kalazimisha tukafunge ndoa ya serikali Baada ya Mimi kugoma kabisa kubadili dini na yeye hataki kubadili,baada ya ndoa kaanza vijimaneno maneno kutaka eti twende kanisani,mara ndoa haikuwa na sherehe watu watajuaje kama yeye ni mke wa Fulani ,nikamwambia utajijua hapa hakuna cha kanisani Wala upuuzi gani,huridhiki na hii ndoa nenda mahakamani kadai talaka ,kwanza yeye ndo alitaka ndoa sijui apate uhamisho halafu anaanza kunletea kelele ,nimempotezea nishamzalisha watoto watatu ,mambo mengine atajijua mwenyewe sitaki stress
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
27,614
2,000
Huyo mwanamke ni kauzu sana lol,
Afu mwanaume yupo km zoba flan iv. Hahahah
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom