Soma majibu ya Selebu wa Kibongo, Hemed akihojiwa na Zamaradi

Soma Majibu ya Selebu wa Kibongo, Hemed Akihojiwa na Zamaradi

Hemed Suleiman ni mmoja wa waigizaji filamu na sinema nchini Tanzania.

Katika video hii, Zamaradi Mketema, mtangazaji wa kituo cha runinga cha CloudsTV anamwuliza maswali kadhaa katika sehemu ya "Mtu Kati" ya kipindi anachokiendesha katika kituo hicho cha runinga.

Mojawapo ya swali aliloulizwa ni, "Umepata nini kupitia sanaa?"

Jibu:
"Kiukweli sanaa imenipa mafanikio mengi.
Aaa, lakini nisingependa yoote niyataje kwa sababu si lazima vitu vingine uongee.
Vitu vingine vinakuwa vyako wewe mwenyewe personal.

Maisha yako unavyoishi, mambo yako unavyoyafanya, vitu ulivyovipata kupitia sanaa, vinakuwa ni maisha yako mwenyewe binafsi.

Lakini kikubwa ambacho ninajivunia kiukweli kuhusu sanaa ni kuzidi kuniweka karibu na mabinti.
Eeh, sanaa inanifanya kila siku naonana na mabinti.


Sanaa inanifanya naongeza upendo kwa mabinti. Kwa sababu mimi kila movie yangu ikitoka, huwa nahesabu ni wanawake wangapi wamenitafuta kupitia hiyo movie, japokuwa movie zinazidiana kwa hiyo kuna movie imenifanya nimetokewa na wasichana wengi kuliko movie nyingine kwa hiyo nina rekodi yangu ambayo ninaiandika kwenye diary.

Kwahiyo in short, sanaa naishukuru, nashukuru sanaa kwa kunipatia mademu."




Kweli mire*** siku hizi hawafanyi kazi
 
Last edited by a moderator:
hemed ni attention seeker n am sure he knows what he's doin na kwa kukurupuka tunakuta tunampa attention....mastar wengi wa bongo hupenda attention za media hata kwa upuuzi wao!sometimes inabidi tuwapotezee kwani tukiwazomea kwao ni kama kuwashangilia!.......nachomsifu dogo ni kutoogopa kuchukiwa kwa kauli zake na kujiamini!

hana akili na ww unamsapoti
 
I swear to GOD, sikujua huyu dogo ni hopeless namna hii.... He is not worth any dime!!
 
hana akili na ww unamsapoti

shughulisha akili yako na elewa unachojaribu kujengea hoja.....dogo kaulizwa anajivunia nini katika sanaa?pili yapi mafanikio aliyoyapata katika sanaa?unataka majibu yako yafanane na yake!muuliza maswali hakumlimit kama ni mafanikio kiuchumi,kiroho,kitaaluma,kimahusiano,kibiashara n.k..........................
 
Post critical thing, ushasema msanii unategemea majibu gani apo
 
Yaani kijana wa kiume anajivunia kuitwa msichana mrembo, yaani Sharobaro....! Kweli dunia imekwisha.
 
Back
Top Bottom