Soma majibu ya Selebu wa Kibongo, Hemed akihojiwa na Zamaradi

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Soma Majibu ya Selebu wa Kibongo, Hemed Akihojiwa na Zamaradi

Hemed Suleiman ni mmoja wa waigizaji filamu na sinema nchini Tanzania.

Katika video hii, Zamaradi Mketema, mtangazaji wa kituo cha runinga cha CloudsTV anamwuliza maswali kadhaa katika sehemu ya "Mtu Kati" ya kipindi anachokiendesha katika kituo hicho cha runinga.

Mojawapo ya swali aliloulizwa ni, "Umepata nini kupitia sanaa?"

Jibu:
"Kiukweli sanaa imenipa mafanikio mengi.
Aaa, lakini nisingependa yoote niyataje kwa sababu si lazima vitu vingine uongee.
Vitu vingine vinakuwa vyako wewe mwenyewe personal.

Maisha yako unavyoishi, mambo yako unavyoyafanya, vitu ulivyovipata kupitia sanaa, vinakuwa ni maisha yako mwenyewe binafsi.

Lakini kikubwa ambacho ninajivunia kiukweli kuhusu sanaa ni kuzidi kuniweka karibu na mabinti.
Eeh, sanaa inanifanya kila siku naonana na mabinti.


Sanaa inanifanya naongeza upendo kwa mabinti. Kwa sababu mimi kila movie yangu ikitoka, huwa nahesabu ni wanawake wangapi wamenitafuta kupitia hiyo movie, japokuwa movie zinazidiana kwa hiyo kuna movie imenifanya nimetokewa na wasichana wengi kuliko movie nyingine kwa hiyo nina rekodi yangu ambayo ninaiandika kwenye diary.

Kwahiyo in short, sanaa naishukuru, nashukuru sanaa kwa kunipatia mademu."


 
Last edited by a moderator:
Mh! Hii ni komed au? Ndo maana aliwahi kurushiwa kijembe na mlela kuwa jamaa bado ana domo legevu kama la kinda la ndege
 
are you serious?u gotta b kidin!ndo ma celeb wetu haoooo....
brotha hawa ndio watu wanaokaa na kukaribishwa ikulu na JK...na upuuzi huu ndio wanaoongea na kupigiwa makofi....this is bongo arifu....kwako weye waona upuuzi ila kwa bongotz ni ujiko......kuchukua mademu wengi,kunywa beer nyingi nk....
 
brotha hawa ndio watu wanaokaa na kukaribishwa ikulu na JK...na upuuzi huu ndio wanaoongea na kupigiwa makofi....this is bongo arifu....kwako weye waona upuuzi ila kwa bongotz ni ujiko......kuchukua mademu wengi,kunywa beer nyingi nk....

Kumega mademu yeye anaona ndo mafanikio ya sanaa
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mbuyu na mpapai, hawa mwatu maarufu wa Tanza nia inabidi waajifunze kujibu maswali, lakini pia ktk sanaa yetu sidhan kama kuna mtu msomi kati ya wale waigizaji wengi hukurupuka
 
NOT ONLY ZUZU pia ni bwegge fulani hivi jinga jinga...yaani uku Nai tunamuita wa hivi hivi......lakini hata JF wapo......sasa jitu kama Nyani Ngabu anatofauti gani na huyu hamnazo?

.................Duh
 
Mh! Hii ni komed au? Ndo maana aliwahi kurushiwa kijembe na mlela kuwa jamaa bado ana domo legevu kama la kinda la ndege
**** sana huyo dogo kuna mahojiano anamkandia Mlela eti kuwa watoto wa Mbezi beach hawamjui Mlela labda Ilala,toka siku hiyo nikajua upeo wake ziro wasanii muwe mnafikiri kwanza..
 
Back
Top Bottom