Soma LA demokrasia kwa wengine halikueleweka au halieleweki

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Huwezi kutafuta madaraka kwa kutumia pesa ukasema eti ni demokrasia!!!
Kuwezi kuunda mtandao wa makundi ya kukutetea ukasema eti ni demokrasia!!!

Huwezi kupita kila kona ya nchi ukigawa pesa ili usainiwe form ya kugombea urais ukasema ni demokrasia!!

Huwezi kutuhumiwa kosa Fulani ikakimbikia chama kingine na kupokelewa kwa mbwembe ukasema ni demokrasia!!


Huwezi kutunga hila na uongo juu ya MTU mwingine au chama kingine ukasema ni demokrasia!!

Kwa hiyo wanaofukuzwa kwenye vyama vyao siyo wote wansotetea demokrasia!! Wengine wanatetea matumbo yao na kutaka kupata madaraka kwa njia ya panya!!!just correst your self!! Let us build strong political parties and strong Nation!!
 
Kwahiyo unataka kutuambia demokrasia ni nini? na hiyo demokrsia ni nani anaye itekeleza au amewahi kuitekeleza kwa ufasaha zaidi ya lowassa.
 
Kuna
Sijaelewa hata kidogo.. Fafanua mkuu
Kuna MTU amesikia akisema kuwa waliofukuzwa CCM walikuwa wanatetea demokrasia!!! Lakini tangia enzi za Nyerere mpaka sasa anatuhumiwa kutaka madaraka kwa kuuunda makundi au kutumia pesa!! Sasa sijui hiyo ndo demokrasia?
 
Back
Top Bottom