Sawa mkuuUshauri wangu.
Mjengee mama yakoo nyumbaa na kumpa mtaji kidogo afanye biashara ya maana kama itawezekana.
Shangazi yako mpe mtaji tu afanye biashara nzuri zaidi maana kama makazi anayo tayari na sidhani kama atakuwa tayari kuhama Dar na kwenda Mwanza. Yeye mwenyeji dar mpe mtaji apige biashara. Yote uliyopitia kwa shangazi yasamehee tuu ni sehemu ya maisha.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Asante kwa mchango wako kakamimi naona kama ungeweza nunua hiyo nyumba alafu ukaipangisha pesa kidogo kidogo iwe haikauki unasaidia kote kuwili.....maana kuwanunulia nyumba alafu chakula hawana cha uhakika sio idea nzuri inaweza hata keta ugomvi kati yao.....
unaweza pia nunua bajaji used kwa mil 4 zikiwa 3 tu kwa mil 12, uziingize barabarani alafu mil 8 mama unamfungulia biashara ya mil 2 na shangazi ya mil 2 then wewe unabaki na akiba ya mil 4 kwa lolote litakalotokea mbele......
Mkuu sifikirii kujenga, nafikilia kununua nyumba ilio kamilika (kwa mwanza napata nyumba ya ela iyo tena yenye umeme)Chagua biashara kwa uangalifu Kisha uwekeze hiyo milioni 20, na usiwekeze yote. Wekeza Kama milioni 10 hivi, hiyo nyingine ibaki kama back up.
huyo shangazi na mama wakae sehemu moja ili kuwahudumia iwe rahisi, either shangazi aende huko kijijini au mama aje mjini. Hela utakayopata kwenye business utawatumia hata laki kwa mwezi itawatosha kabisa
Kujenga nyumba na hela pekee uliyonayo utabugi kwani haitakuwa nyumba ya viwango, inaweza kuishia pagale tu, pia watu hawali nyumba
shukrani sana mkuuChukua yarikiboy iko powa waongezee mitaji kidogo napo upate mapendekezo yao usiwajaze mapesa mengi lakini pia lakukaa wote sehemu moja usijaribu kubwa zaidi nikupongeze kwakupotezea mabaya yashangazi japo unaweza kumlaumu lakini pengine mateso yake yakawa ndoyalikupa nguvu yakufika hapo
asante sana mkuu kwa maneno yako ya busara, nimeyapokea kwa mikono miwili mkuu.Ushauri wangu usije kujaribu kumuweka mama yako na shangazi yako sehemu moja,kumbuka hao ni mtu na wifi yake,narudia kama unataka mama yako afe mapema fanya hivyo. Tena waweke mbali kabisa ikiwezekana wawe wanatembeleana mara chache sana. Labda nikufungue tu yaelekea huna uzoefu sana na haya maisha,hamna watu wabaya kama mashangazi,narudia tena kuwa makini na hao watu
Amini ndg. Shangazi alikuwa nakutakia heri...na kazi kwa Wahindi imekukomaza na kumpa msukumo wa mafanikio....Asante mkuu
Mze wa masiharaUshauri wangu.
Mjengee mama yakoo nyumbaa na kumpa mtaji kidogo afanye biashara ya maana kama itawezekana.
Shangazi yako mpe mtaji tu afanye biashara nzuri zaidi maana kama makazi anayo tayari na sidhani kama atakuwa tayari kuhama Dar na kwenda Mwanza. Yeye mwenyeji dar mpe mtaji apige biashara. Yote uliyopitia kwa shangazi yasamehee tuu ni sehemu ya maisha.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app