SOMA KWA MAKINI: Natafuta vijana 2 graduates(smart) tufanye jambo

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,800
11,331
Natafuta vijana 2 ambao wapo Dar wenye asili ya mkoa wa Mtwara. Nahitaji wa mkoa huo shauri jambo ninalotaka kufanya nao litafanyika huko. Mimi si mwenyeji wa huko, hivyo nafikiri nikipata wenyeji itakua safi.

Nataka watu sharp, creative, elimu ya bachelor katika fani yoyote, wenye uwezo wa kutumia kompyuta na kuzungumza vema kama intellectuals.

Karibu!
 
Back
Top Bottom