Soma Hiyooo: Usajili Simba Sc kusimamisha bara la Afrika leo

Unatumika vibaya wewe.Hizo posho mnazoipwa na Babra zinawatoa ufahamu .Taarifa za Simba zilikuwa zinatolewa na kunogeshwa kwa Mbwembwe na Manara.Leo Manara hayupo kumekuwa kukavu.Mzimu wa Manara utaitafuna sana tena sana Simba mtake msitake.Muda ni mwalimu mzuri bila shaka kwa sasa jambo hilo limeanza kujidhihirisha.Mlalo wa Mbele,Mlalo wa Nyuma,Mbendembende,Kifo Cha Mendeeeeee
mtu mwenye akili timamu hawezi kuzungumzia Manara hapa. Ameshindwana na Simba Sc kwa hiyo unataka wafanyaje? Bro kama unampenda sana Manara nenda alipo mkapendane lakini kwa Simba hatuhitaji wajinga kama nyie. Fikiria tunajadili usajili jitu linaleta stori za Manara,mzima kweli wewe?

Tena sasa pasipo kufichaficha Manara ni mpuuzi na wanaodhani Simba itashindwa kwa sabbu yake ni wapuuzi. Hamasa inasaidia nini performance ya timu? Hao Yanga waliokosa kombe miaka 4 hawana hamasa?
 
Mpira wa Tanzania unachezwa kwenye mitandao tu na ndio mwisho wake. Sasa huyo mchezaji ana nini cha ajabu, mbona sasa asiende Ulaya. Tanzania is not a sporting country.
 
Back
Top Bottom