Soma Hiyooo: Usajili Simba Sc kusimamisha bara la Afrika leo

Messi hayupo ufaransa...wakati psg wa game leo. Bila shaka ndiye

Ama ronaldo maana juve hawaeleweki.
 


Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama.

Bonus
Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
Unatumika vibaya wewe.Hizo posho mnazoipwa na Babra zinawatoa ufahamu .Taarifa za Simba zilikuwa zinatolewa na kunogeshwa kwa Mbwembwe na Manara.Leo Manara hayupo kumekuwa kukavu.Mzimu wa Manara utaitafuna sana tena sana Simba mtake msitake.Muda ni mwalimu mzuri bila shaka kwa sasa jambo hilo limeanza kujidhihirisha.Mlalo wa Mbele,Mlalo wa Nyuma,Mbendembende,Kifo Cha Mendeeeeee
 
Back
Top Bottom