Soma hii story | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma hii story

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Aug 25, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa amenipa story kuwa kuna jamaa yake mmoja wanafanya nae kazi ktk taasisi fulani ya fedha ana demu wake ambaye ameshamtolea mahari na wako katika mipango ya awali ya ndoa

  Huyu jamaa yuko njia panda kwani huyu mchumba ake (mdada) anapenda mapenzi kinyume na maumbile na ameanza kuonyesha hizo dalili za kutaka kuliwa tigo muda mrefu ingawa jamaa alikuwa hamwelewi anataka nn ila sasa ameonyesha kuhitaji baada ya jamaa kutoa mahari na kumwakikishia ndoa

  Anadai zamani wakati wako katikati ya majambo yule dada katika yale makelele ya mahaba alikuwa anasema nifi... nifi... ila jamaa akawa anapotezea na kuna wakati jamaa akiwa anakula mbele yule dada anajitia kidole mlango wa pili

  Sasa hapo majuzi yule dada amezidisha sana na wakiwa katikati ya majambo kama kitu kikichimoka kwa bahati mbaya yule dada anakishika na kukielekeza tigoni na huku akimlilia jamaa ampigie kwa mtandao huo.

  Jamaa yuko njia panda kwani yeye hapendi kufanya kitu hicho na ni mtu wa dini kidogo na pia yule mdada anategemea kumuoa na anaofia kama ule ni mchezo wake anaoupenda na yeye hawezi kuutimiza atatoka nje na anajiuliza kama kuna watu wanamfanyia hicho kitu mkewe mtarajiwa. Jamaa amechanganyikiwa na anataka kusitisha ndoa

  Je wadau mna lakusema hapo kushauri kama ikikutokea situation kama hii
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unaweza ukabalehe ndani ya ndoa.
   
 3. D

  Dick JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaaaaaaaazi kweli kweli! Huyo jamaa yako afanye maamuzi magumu ya kuchagua moja kati ya mawili yafuatayo. Akimuoa sharti ale hiyo tigo kwa nguvu sana kinyume na hapo huyo mdada lazima atapigisha tigo nje, la amuache.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Akimbie haraka sana huyo dada keshazoea kuliwa TUZU(tigo) na waliwao tigo mbele hawapati utamu so wanataka wakunwe nyuma. jamaa asipoangalia ataishia kuzibua mitaro tu, na asipozibua wajanja watazibua, njia nyepesi ni kulala mbele tuu
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa nini wanafanya mapenzi kabla ya ndoa? wazinzi wakubwa hao
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Huyu atakuwa amekwishazoea...! Ingekuwa mimi ningeona bado nipo kwenye probation, hivyo bado nina muda wa kuamua jinsi akili yangu inavyonituma, na ningeamua kuachana naye mapema kabisa. Maana ukisema umkalishe na kumsomesha juu ya madhara ya hiyo kitu, atakudanganya sawa nitaacha, lakini madhara yake ni kuipeleka shida yake huko nje. Ukisema uitikie wito wake, moyo wako utakusuta na matatizo yoyote atakayoyapata huko mbele yatakuhusu kwa 100%. Cha msingi ni kwamba hawaendani, na hivyo kila mmoja akamtafute mwenzie maana bado hajampata hadi hapo...! Aidha, haya ni maoni tu...!
   
 7. M

  Mayu JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kuna chsguzi mbili tu moja amuoe na ampigie kwa hiyo no ya tigo,
  kama hawezi amteme
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hapo suala ni kusitisha tu hiyo ndoa, akiendelea nayo atalia hapo baadae!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  .........asingefanya mapenzi kabla asingegundua hilo tatizo la mpenzi wake. Ingawa ni kosa lakini imemsaidia, by the way anahitaji ushauri wa kiroho!
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  No........................! Kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni kosa walilolifanya, na watakalolifanya wengi. Labda nikuulize; Je, wewe umeolewa/umeoa? Kama bado, hapo ulipo una status zipi? Na kama ndiyo, una uhakika gani kuwa mwenzio kaanzia kwako? Duniani waliooana na "first lovers" ni wachache mno...! Hata hivyo siamini kama kuna mtu ataishia kutembea na mtu mmoja tu katika maisha yake....! Utanisamehe kama umekwazika.
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni kosa ila kutokana na jamii yetu ya sasa asilimia kubwa wanaingia kwenye ndoa wakiwa tayari wameshafanya ngono na watu tofauti tofauti hata hivyo kwa hii kesi kufanya ngono kumesaidia kugundua tatizo la sivyo angekutana nalo wakati ameshakula kiapo bora sasa anaweza kula kona
   
 12. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  jamaa nadhani anataka kukimbia ndio maana anawasimulia marafiki zake ili apate ushauri sasa kama akivunja ndoa kipindi hiki ambacho ameshatoa mahari na tarehe ya harusi imeshapangwa sijui atawapa sababu gani ndg, jamaa na marafiki maana ni jambo la aibu
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Preta
  Kwa kweli hili nitatizo kubwa sana kwa jamii za kisasa dunia nzima, Mapenzi ni Taasisi inayohusisha maamuzi binafsi ,Watu wengi wamelelewa katika maisha yasiyo na hofu ya MUNGU, Ni maisha ambayo wengi wanayaishi, na unapozungumza juu ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sasa hivi ni ngumu, ni ngumu sana kutokea,Hata watu waliookoka sio wengi wanahofu hiyo, Ni wachache wamejitoa kiukweli, Na mbaya zaidi huu usasa umesababisha wasichana wengi kuingia katika mapenzi kinyume na maumbile, Na hili tatizo likiingia kwa mtu ni ngumu sana kuondokana nalo, linahitaji maombi!!! Tena maombi ya nguvu saaana, Ni tatizo kubwa sana katika jamii kwa sasa, wengi wameingia katika huu usasa.

  Kwa kweli mimi simshauri huyo jamaa kuoa huyo mdada hata kama ametoa mahali. Baadaye italeta shida katika ndoa, hakuna mke hapo.
   
 14. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamaa hapo hana mke.atakuwa na mtu anayemtengenezea njia ya kwenda motoni.period.aamue kuona aibu ya sasa au ya milele,maana pamoja na kuwa wanatenda dhambi kabla ya ndoa Mungu bado anamuonyesha jamaa kwamba hapo sipo! chukua hatua mapema hujachelewa. jamaa atachelewa atakapokula kiapo mbele ya Mungu huku akijua tabia za mke matarajiwa atajitetea nini?:eek2:
   
 15. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huyo mwananmke hafai aachane nae kabisa maana yaelekea huo ndio mtindo wake aombe mungu atapata mke bora na mwema
   
 16. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Aachane kabisa na huyo dada, si mke, hafai... ataliwa hiyo kitu hata na ma-utingo aisee...:mad2:

  "La Kuvunda Halina Ubani"
   
 17. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  huyo jamaa ni mtu wa dini, dini gani hiyo inayoruhusu uzinzi(mapenzi kabla ya ndoa)?
   
 18. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dalili ya mvua ni Mawingu !!! huyo demu hio ndio tabia yake kutumia tigo. Mkuu mshauri jamaa yako avunje ukimya na mwezake kwa hisani ya watu wamarekani, then waachane salama. Duu haya majaribu mengine nomaa!!!
   
 19. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  itabidi haya maoni ni ya kati yote na kuya pesti na kumtumia huyu jamaa yangu akamshauri huyu muoaji
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Laiti huyo jamaa angekuwa ni mtu wa dini asingefanya mapenzi kabla ya ndoa.
   
Loading...