Soma hapa tafadhali!!

Narumba

Member
Jan 11, 2009
34
0
Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo sehemu, and then nikishaipata mwenzi July ndio nitakuja kufanya filed.
Kwa kuwa hapa jamii forums kuna watu wapo kwenye taasisi mbali mbali nimeona ni vyema niwaambie maana mnaweza kunisaidia kupata sehemu.
Mie hapa Dar mgeni sana, nimekulia huko Mbeya,nipo hapa Dar kwa jamaa zangu kwa muda tu.
Natumaini nitapata sehemu kwa kupitia hapa JF.
Mungu awabariki.
Asanteni sana.
 
kuwa specific ni maeneo gani hasa unataka kufanyia? kama utayaainisha itakuwa rahisi kupewa ushauri,
 
Mbona hata bungeni pia panafaa au uliogopa muone Mwakiembe akufantie mpango ufanyie field yako bungeni.
 
Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo sehemu, and then nikishaipata mwenzi July ndio nitakuja kufanya filed.
Kwa kuwa hapa jamii forums kuna watu wapo kwenye taasisi mbali mbali nimeona ni vyema niwaambie maana mnaweza kunisaidia kupata sehemu.
Mie hapa Dar mgeni sana, nimekulia huko Mbeya,nipo hapa Dar kwa jamaa zangu kwa muda tu.
Natumaini nitapata sehemu kwa kupitia hapa JF.
Mungu awabariki.
Asanteni sana.

Taja jinsia yako tafadhali!!!
 
Mhh kivipi ? Hujui kuna office zinaweweka kipaumbele kwa kina mama?

You are right! hii kipao mbele inabidi iangalie sababu mi naona kam ni kiubaguzi fulani, mwishowe wanaume wengi watakuwa out of work, mnaonaje?

Tumsaidieni ndugu yetu wajamani
 
Nakushauri uende TANESCO Makao makuu idara ya Human Resources unaweza kupata mahali pa kufanya field huwa naaona vijana wengi wanakuja na wanafanikiwa.
 
Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo sehemu, and then nikishaipata mwenzi July ndio nitakuja kufanya filed.
Kwa kuwa hapa jamii forums kuna watu wapo kwenye taasisi mbali mbali nimeona ni vyema niwaambie maana mnaweza kunisaidia kupata sehemu.
Mie hapa Dar mgeni sana, nimekulia huko Mbeya,nipo hapa Dar kwa jamaa zangu kwa muda tu.
Natumaini nitapata sehemu kwa kupitia hapa JF.
Mungu awabariki.
Asanteni sana.

Kaka NARUMBA au Dada maana jinsia hujaweka chemka na jiji kwani ofisi mbona zinajulikana au mpaka mtu akuunganishe? nenda kaongee na watu kenye taasisi ndio ukubwa huo ukitegemea jamii mmmm sijui kila na heri
 
Unawea kuingia hata kwenye wizara, taasisi kama TCRA, EWURA, SUMATRA,TRA, Muhimbili hospital,PCCB pitia councils kama kinondoni, Ilala na Temeke...unatafuta njia ya kutaka kulijua jiji nini?? Pale mbeya manispaa pia naweza kuku-introduce kwa mtu akaona jinsi ya kukusaidia (ni-PM). Good luck!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom