Soma hapa kama unahitaji mashine ya kodi ya TRA (EFD) kwa ajili ya biashara yako.

Vato

JF-Expert Member
Feb 15, 2009
249
139
Mashine za kutunza kumbukumbu za Kodi na Mauzo za TRA (Electronic Fiscal Devices) zinapatikana kwa bei nafuu. Kama unazihitaji, au unamfahamu mtu anayehitaji au ofisi inayohitaji, ni PM kwa maelezo zaidi au wasiliana na mimi kupitia 0714 990 300.
Kwa mujibu wa sheria ya VAT na EFD Regulations za mwaka 2010 mashine hizi ni lazima zitumiwe na wale wote waliosajiliwa for VAT..
Nisisitize tu kuwa SIO MASHINE ZA DILI, ni mashine za ubora mzuri, kutoka kwa TRA Authorized EFD Distributor.
NB: Uki mdirect mtu/ kampuni na akanunua kutoka kwetu, tutakupa Commission nzuri tu.
Siku njema, kazi njema kwenu wakuu wangu.
 
Back
Top Bottom