Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
10372331_304491179713708_2054071234756104888_n.jpg

Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga.

Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii.

Madaktari walimshauri mama mzazi wa mtoto afanyiwe upasuaji wa kufungua njia ya choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto upasuaji huo.

Mnaombwa ndugu, jamaa na marafiki tumsaidie mtoto huyu. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu tumsaidie mtoto hyu.

NB ;Kwa wewe unaehitaji kutoa msaada wa chochote ulichonacho namba ya tigo pesa 0712202606

Usiondoke bila kuandika neno Amen na baraka zake zitafika

Usisahau kushare ili habari ziwafikie na wengine wenye moyo wa kusaidia

Ameen Insha'Allah mungu atafungua heri kwa binti huyo. Hici hakunaga mifuko maalum ya serikali kwa ajili ya kusaidia watoto kama hawa kwenye matibabu? Wafanye kama vile program ya kutibia mateja basi na kwa watoto wenye complications kama hizi watibiwe pasi na gharama yeyote.
 
Amen.mungu atakuwa upande wake.mimi cna tigo weka na mpesa tumchangie.unajua watu ni wasanii sana wanaweza kuchukua picha kwenye net na kuweka namba hapa ili kutafuta hela.ila kabla ya kutuma nitamwuliza maswali ya ufahamu kidogo.akichemka nasepa.
 
Nenda Hospitali ya Muhimbili ukaulize sehemu ya Wagonjwa watoto wadogo utamuona huyo mtoto kama kweli upo Serious kumsaidia. Hakuna cha usanii hapo.
 
Ameen Insha'Allah mungu atafungua heri kwa binti huyo. Hici hakunaga mifuko maalum ya serikali kwa ajili ya kusaidia watoto kama hawa kwenye matibabu? Wafanye kama vile program ya kutibia mateja basi na kwa watoto wenye complications kama hizi watibiwe pasi na gharama yeyote.
Tungojee labda baada ya Uchaguzi wa Serikali mpya ya Mwaka ujao 2015 tunaweza kupata viongozi wenye huruma kwa sasa hakuna subiri mwakani.........
 
Je kuna jambo gani lililo kubwa asiloliweza? Tuzidi kumtegemea yeye kwani ni yeye aliyetuita na kusema tumpe mizigo yetu naye atatupumzisha. Amen. Bwana atatenda kwa wakati wake.
 
Pole mtoto, Mungu atajalia atapona. Mama angepata msaada wa kwenda ITV au kwa kipindi cha Hoyce Temu Channel Ten habari ingesambaa zaidi na kupata msaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom