Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga.
Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii.
Madaktari walimshauri mama mzazi wa mtoto afanyiwe upasuaji wa kufungua njia ya choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto upasuaji huo.
Mnaombwa ndugu, jamaa na marafiki tumsaidie mtoto huyu. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu tumsaidie mtoto hyu.
NB ;Kwa wewe unaehitaji kutoa msaada wa chochote ulichonacho namba ya tigo pesa 0712202606
Usiondoke bila kuandika neno Amen na baraka zake zitafika
Usisahau kushare ili habari ziwafikie na wengine wenye moyo wa kusaidia