Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

Pole mtoto. Ila nina mashaka na iyo namba mbona hajasema kwenda kumuona au kutoa msaada mwingine wowote tofauti na pesa naomba tulichunguze hili
 
10372331_304491179713708_2054071234756104888_n.jpg



Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga.

Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii.

Madaktari walimshauri mama mzazi wa mtoto afanyiwe upasuaji wa kufungua njia ya choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto upasuaji huo.

Mnaombwa ndugu, jamaa na marafiki tumsaidie mtoto huyu. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu tumsaidie mtoto hyu.

NB ;Kwa wewe unaehitaji kutoa msaada wa chochote ul
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom