Soma habari hii, utashangaa sana!!

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=2]Friday, APRIL10, 2015[/h][h=3][/h]


Mamba huyu alimkata mkono wa kushoto msimamizi/daktari wa wanyama huko Shoushan Zoo mjini Kaohsiung, Taiwan. Mamba huyo alipigwa risasi 2 akauachia mkono na madaktari walifanikiwa kuunganisha na mwili wa daktari huyo, mamba hakufa na daktari hakufa wote wanaendelea vema. Ni kweli imetokea, duniani kuna mambo.




 
Photo shop! Hata ukiangalia ukubwa wa huo mkono hauna uwiano na ukubwa wa mamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom