soma gazeti la serekali ya smz kwenye mtandao wablog | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

soma gazeti la serekali ya smz kwenye mtandao wablog

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Jan 27, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  GAZETI LA ZANZIBAR LEORahaleo, Zanzibar, TanzaniaShirika la Magazeti ya Serikali limeanzishwa kwa sheria namba 11 ya mwaka 2008.Shirika hili linachapicha magazeti ya Zanzibar Leo na Zanzibar Leo Jumapili.
  gazeti la serekali kwenye blog. ni ukopsefu wa fedha au wataalaam?
  SHIRIKA LA MAGAZETI YA SERIKALI ZANZIBAR
   
 2. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  yani bwana muhogomchungu,hawa wazanz wanakosa capital na wataalam hata wa kufanya editing jamani,lol
   
 3. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wataalam wanao, pesa wanazo labda hawajaona umuhimu wake
   
 4. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wataala siamini kama n tatizo. kwani wapo wasmz wengi wamesoma IT, Nje ya nchi na bado wafanyakazi wa smz
   
Loading...