princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,553
- 14,380
mimi mpaka nilihisi labda ndo nmepigwa ban..
kumbe tuko wengi
kumbe tuko wengi
Hilo tatizo hata mimi huwa linanitokeaga my aka sometimes naamua kutumia browser
Hili tatizo hata kwangu nimeliona jana yaan nipo jf kwa kuvizia
Naunga mkono hoja wakuu...Aahhh sawa ,sasa Mimi toka Juzi jioni sijapokea tena notification yoyote
Ha haha mkorofi weweImeboreshwaje? Je maboresho yamehusisha kufuta thread za kipuuzi za Pro-CCM??? Kama hapana, basi maboresho yaliyofanyika yatakua ya kawaida sana. Hata hiyvo hongereni, kesho navaa T-shirt yangu ya JF
Salaam,
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea maboresho hayo.
Kwa takribani siku 10, baadhi ya watumiaji hususan wa device za mfumo wa Android mlikutana na changamoto ya kutoweza kuipata App ya JamiiForums kupitia Playstore; JamiiForums haipatikani Playstore. Nini tatizo?
Tunashukuru kwa uvumilivu wenu katika kipindi chote tulichokuwa tukiifanyia kazi.
Kuna swali lolote?
Karibu..
Kumbe eh, ngoja ni update namie
Hahahahah nini tena Rafiki?? Kweli ningefurahi sana kama wangeweza kui-updateHa haha mkorofi wewe
Kwenye iOs hakuna tatizo mkuu. Ukikutana na taarifa za maboresho (new updates) tafadhali zisanikishe.
Salaam,
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea maboresho hayo.
Kwa takribani siku 10, baadhi ya watumiaji hususan wa device za mfumo wa Android mlikutana na changamoto ya kutoweza kuipata App ya JamiiForums kupitia Playstore; JamiiForums haipatikani Playstore. Nini tatizo?
Tunashukuru kwa uvumilivu wenu katika kipindi chote tulichokuwa tukiifanyia kazi.
Kuna swali lolote?
Karibu..
Hongereni kwa kutoa Update ya Jf.
Nimetumia karibu lisaa kuweza kutambua features zilizopo na matumizi yake.
App iko poa, ila kwenye issue ya color ingependeza kama ingerudishwa ile dark blue.
View attachment 695994 Tatizo la Notification, yaani hata nikirefresh vipi notification, haziji na zikija ni za miezi na siku zilizopita.. rekebisheni hilo.
Ndugu WanaJF,
Tunashukuru kwa mrejesho mnaotupatia baada ya kupokea mabadiliko tuliyoyafanya.
Ni kweli kuna tatizo kidogo la kiufundi linaloathiri baadhi ya watumiaji, hivyo kushindwa kupokea notifications na baadhi ya features kwa wakati..
Hata hivyo mambo mazuri yanakuja. Tunafanyia kazi kuhakikisha changamoto hiyo na nyinginezo zote zinamalizika mapema iwezekanavyo..
Hakikisha unasanikisha maboresho mapya kila mara kwenye App yako..
Tunaomba uvumilivu wenu kidogo tu!
Asanteni.
Yaah na design kama Tapatalk app ilivyo pia, niliidownload tena jana nikijua mambo yatakua poa, lkn bado, uzuri wa app ni notification bwanaWameiweka mtindo wa Facebook?