Solve if U R GENIUS !!!

nilikua nawaangalia tu. hili swali ni fumbo.
Nitawapa kwanza mfano ili ujisahihishe.
MFANO:
1,2,3,4.
je moja ukiijumlisha na namba inayo fuata unapata 3 na mbili ukijumlisha na namba inayoifuata unapata 5, tatu na inayoifuata 7.
#kwenye hilo swali ameweka series kua 9 hadi 1.
akachukua 9 akaizisha na namba inayofuata kwa chini akapata jibu, 8 akazidisha kwa namba inayo fuata chini akapata jibu, 7 akazidisha namba inayo ifuata kwa chini akapata jibu. kakuachia hiyo tatu utoe jibu. mia
 
946751_541938279177820_1222316653_n.jpg

Jibu ni 6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom