Sologamy: Wajue wanawake wanaojioa

Nyie wehu kweli waone,kuna kipindi naweza amka midnight kuangalia taratibu chura la bibie na kuufurahia uumbaji wake mola baada ya hapo silali tena bila kutoa asante,mwambie madam km chura halipo kubwa basi angalau hata chakula ya mtoto iwe kubwa(nyonyo)hasikose vyote,vimakofi huku msambwanda unachezacheza ni burudani hatari,tupo pamoja bro

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Vimakofi.....vijana mmepata madhara na picha za ngono
 
Kuna mdada huku,kajenga kanyumba kabiashara kavyumba viwili kaamua kuchangisha watu na kufanya sherehe ya kuzindua nyumba,lakin jinsi hyo sherehe ilivyofanyika ilifata taratibu zote za harusi,niliona kama huyu Dada kaamua kujioa
 
Back
Top Bottom