Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Thubutuuu! hapo hata ujaribu vipi hufungui ng'o!... Hapo ni Sumbawanga!... Sio pa mchezomchezo!...Doooh si bora angeacha wazi
Duh ni noumerThubutuuu! hapo hata ujaribu vipi hufungui ng'o!... Hapo ni Sumbawanga!... Sio pa mchezomchezo!...
Jaribu kuiba, atagawa busha ukoo mzimaDoooh si bora angeacha wazi
Jaribu kuiba, atagawa busha ukoo mzima
Masharti ya mganga
HaaaaaaaaaaMasharti ya mganga
Kafanya makusudi au?[/QUOTE
Purposely
PurposelyKafanya makusudi au?