Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 912
Jamani naomba kuuliza nitaweza kusolder kwa soldering gun bila yakuwa station na kama ndiyo je station ina matumizi gani? Na inapatikana kuanzia kwa Tshs ngapi?
Jamani naomba kuuliza nitaweza kusolder kwa soldering gun bila yakuwa station na kama ndiyo je station ina matumizi gani? Na inapatikana kuanzia kwa Tshs ngapi?
Asante mkuu kwahiyo ninaweza nikaanza nikanza na soldering ironSolder ring gun (Soldering Iron) ndio inayotumika katika matumizi ya kawaida ya kuchomea kitu kimoja kimoja.
Soldering station (Rework station)inajumuisha
1. Soldering Gun na
2. Hot Air gun...
Electronics ni umeme wa kimaskini. Ni bora ukachomelee mageti kuliko kuchomelea viredio vya elf tano tano!Asante mkuu kwahiyo ninaweza nikaanza nikanza na soldering iron
5000 x 10 = 50,000/=Electronics ni umeme wa kimaskini. Ni bora ukachomelee mageti kuliko kuchomelea viredio vya elf tano tano!
Jamani naomba kuuliza nitaweza kusolder kwa soldering gun bila yakuwa station na kama ndiyo je station ina matumizi gani? Na inapatikana kuanzia kwa Tshs ngapi?
Duuh...kila mtu na fani yake,sikuelewachochote kilichoandikwa mpk nilipoona picha kwenye comentSolder ring gun (Soldering Iron) ndio inayotumika katika matumizi ya kawaida ya kuchomea kitu kimoja kimoja.
Soldering station (Rework station)inajumuisha...
Geti moja ni 1 X 1,000,000 =5000 x 10 = 50,000/=
Soldering Iron ndio ya Lazima na muhimu kuanza nayo. Labda kama unafanya ufundi wa simu na Computer ndio utalazimika kuwa na hot air gun.Asante mkuu kwahiyo ninaweza nikaanza nikanza na soldering iron
Kipo. M sure umeshawahi ona soldering gun kwa mafundi redio na TV.By the way sina nachojua hapa
Kuna ofisi moja niliwahi kuwa na fundi simu, yani hapa nimekupata vizuri kabisa.Solder ring gun (Soldering Iron) ndio inayotumika katika matumizi ya kawaida ya kuchomea kitu kimoja kimoja.
Soldering station (Rework station)inajumuisha...
Unalitengeneza baada ya muda gani? Munakuwa wangapi? Mageti mangapi kwa mwezi?Geti moja ni 1 X 1,000,000 =
umeme mkubwa ni deal kuliko kuchomelea visimu, Tv na Redio unaweza kaa kutwa wasilete kiredio au ujaze maTv tena ya kichogo bila kutoka
Mageti na Madirisha ni deal ya uhakika km utabanana kwenye nyumba mpya za ujenzi au ukaitwa kwa mtu ukarekebishe mageti na madirisha
Yote yanataka umaarufu na uaminifu
Hapo kwenye namba 6 mkuu kiukweli mimi nimefuzu ila sasa kama mtu kaumbwa na kapua kafupi hapo inakuwaje eti yaani.Soldering Iron ndio ya Lazima na muhimu kuanza nayo. Labda kama unafanya ufundi wa simu na Computer ndio utalazimika kuwa na hot air gun.
Kama unataka ufanye kazi yako vizuri tafuta vitu hivi:
1. Soldering gun yenye WATT 60 au zaidi...
Asante Sana mkuu hapo kwenye transformer si nisawa tu nazile stabilizerSoldering Iron ndio ya Lazima na muhimu kuanza nayo. Labda kama unafanya ufundi wa simu na Computer ndio utalazimika kuwa na hot air gun.
Kama unataka ufanye kazi yako vizuri tafuta vitu hivi:
1. Soldering gun yenye WATT 60 au zaidi.
2. Soldering gun ndogo yenye WATTS kam 30 au 40.
3. Meza nzuri ya Mbao.
4. Pair ya screwdrivers size tofauti na tweezers.
5. Plier na cable stripper/cutter.
6. Long nose.
7. Multimeter (sio lazima iwe professional).
8. Bench power supply (Variable).
9. Extention ya uhakika.
10. Isolation transformer (hii itakusaidia kuepuka shoti za hapa na pale katika majaribio yako.)
11. Umeme utakaokuja kwenye bench yako ya ufundi upitie kwanza kwenye circuit breaker (RCCB) Kwaajili ya usalama.
Asante Sana mkuu hapo kwenye transformer si nisawa tu nazile stabilizer
Hapo kwenye namba 6 mkuu kiukweli mimi nimefuzu ila sasa kama mtu kaumbwa na kapua kafupi hapo inakuwaje eti yaani.
Sent from my cupboard using mug
Hako ni kama plier kadogo kareefu. Angalia hizo tatu zilizopo kwenye packet moja
View attachment 1873364
Pole sana.Electronics ni umeme wa kimaskini. Ni bora ukachomelee mageti kuliko kuchomelea viredio vya elf tano tano!
Shukrani sana mkuu.Soldering Iron ndio ya Lazima na muhimu kuanza nayo. Labda kama unafanya ufundi wa simu na Computer ndio utalazimika kuwa na hot air gun.