Solar powerbanks na powerbanks za umeme kwa order

Jun 4, 2015
36
24
Power banks za solar na za umeme zinapatikana kwa order. Bei 35000/= kwa powerbanks za solar, bei ya jumla 28000/=. Na zakawaida ni 30000/= zina sehemu mbili za kucharge simu mbili kwa mda mmoja, bei ya jumla 25000/= ina uwezo wa 20000mAh/10000mAh zote zipo kwa order.
Kwa anayetaka nichek private au kwenye e-mail
Kelcie44@hotmail.com
 
Attachments

  • _20160625_114416.JPG
    _20160625_114416.JPG
    37.9 KB · Views: 53
  • _20160625_114502.JPG
    _20160625_114502.JPG
    7.9 KB · Views: 52
  • _20160625_114311.JPG
    _20160625_114311.JPG
    19.3 KB · Views: 54
  • _20160625_114720.JPG
    _20160625_114720.JPG
    104.4 KB · Views: 48
  • _20160626_101108.JPG
    _20160626_101108.JPG
    11.1 KB · Views: 49
  • _20160626_101233.JPG
    _20160626_101233.JPG
    33.5 KB · Views: 62
Power banks za solar na za umeme zinapatikana kwa order. Bei 35000/= kwa powerbanks za solar, bei ya jumla 28000/=. Na zakawaida ni 30000/= zina sehemu mbili za kucharge simu mbili kwa mda mmoja, bei ya jumla 25000/= ina uwezo wa 20000mAh/10000mAh zote zipo kwa order.
Kwa anayetaka nichek private au kwenye e-mail
Kelcie44@hotmail.com
Mkuu smart phone yenye 3000mAh inajaa mara ngap ndo inakua empt au ni once tu?
Kwahzo za solar
 
Power banks za solar na za umeme zinapatikana kwa order. Bei 35000/= kwa powerbanks za solar, bei ya jumla 28000/=. Na zakawaida ni 30000/= zina sehemu mbili za kucharge simu mbili kwa mda mmoja, bei ya jumla 25000/= ina uwezo wa 20000mAh/10000mAh zote zipo kwa order.
Kwa anayetaka nichek private au kwenye e-mail
Kelcie44@hotmail.com
Mkuu naomba kuuliza ni power bank gani yenye nguvu kubwa ambayo ukiweka simu ina jaa haraka na unachaji mara ngapi kwa siku bila bank yako kuisha. Maana zingine hazifai zina charg simu siku nzima. Mfano simu yangu nj huawei p8 nitumie power bank gani yenge uwezo mkubwa wakujaza haraka.?
 
Mkuu unajua battery la simu yako lina how many mAh? Inategemea na uwezo wa battery ya simu lako, mfano kama mtu battery lake lina uwezo wa 3000mAh ina maanisha akitumia powerbank ya 10000mAh simu yake ita charge mara tatu na robo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom