Jipatie huduma za umeme wa Solar kwa bei nafuu

mchanaganuo ukoje mwaga data ulioleta kwa sababu huwezi kununua solar power bila kujua capacity yake
 
Sure tupe capacity pamoja na hiyo bei nafuu anika hapo tuione,pia tueleze brand ya wapi Germany or china au wap?Warranty?
 
naomba unipe bei na vifaa vyote vitakavyofanya kazi na hiyo solar,nina taa 4,fridge,tv,na radio,
asante
Taa zako ni za watt ngapi,power ya fridge yako ni muhimu nikajua,hii itasaidia ktk kudesign solar system yako
 
Mimi Nina kila kitu Ila nimeshindwa ku operate fridge

unajuwa ili uendeshe fridge unahitaji kuwa na panel kubwa yenye uwezo wa kuzalisha umeme jua kwa wingi lakini pia hata betry zako zitakazo tumika kuhifadhi umeme huo ni lazima ziwe na ukubwa huo wa kuendesha fridge yako

ila ki ujumla kabla hujawa na mawazo ya kununua solar power ni lazima ufanya design ya solar system utakayo itumia nyumbani hii itakusaidia kununua home solar system itakayo endesha vifaa vyako bila matatizo yeyote yale
 
aliyeweka tangazo anafanya biasha kizamani sana, weka vitu hadharani mfano hiyo 500,000/= nawasaha taa 4 fridg, feni, tv/radio kwa muda gani au kwa muda wote nitakaoishi duniani.

Huwezi kusema tu tsh kadhaa utawasha taa kadhaa,zamani ndio ilikuwa hivyo,lakiniwatu bado walikuwa hawakidhi haja ya yale waliokusudia juu ya umeme jua,nachokifanya sasa ni kwamba,unataja nini unataka kutumia ktk nyumba yako,size ama power ya kila kitu unachotaka kutumia then mimi nakufanyia design ya solar system kwa vifaa ulivyotaja na mwisho wa siku nakuja na jibu sahihi litakalo kufanya ununue system itakayo shibisha haja yako,ndio mambo yanavyo kwenda sasa,ki ukweli umeme jua ni poa na ni rafiki wa wote,
 
Mkuu weye kama mtaalamu na muuzaji wa bidhaa, unapaswa kuweka wazi kitaalaum kila kifaa na bei yake ili wadau tujue kama kweli bei zenu ni nafuu au ndo yale yale tu> Tuhuze kwa undani hiyo Compuni yetu ya IHAM SOLAR POWER SUPPLIYER ipo wapi hapa Tanzania, na taratibu za huduma zake zipoje kwani hata hzi post za picha za solar turbines na system ulizoweka hapa ni kama za ku google, weka wazi mhandisi!
 
Huwezi kusema tu tsh kadhaa utawasha taa kadhaa,zamani ndio ilikuwa hivyo,lakiniwatu bado walikuwa hawakidhi haja ya yale waliokusudia juu ya umeme jua,nachokifanya sasa ni kwamba,unataja nini unataka kutumia ktk nyumba yako,size ama power ya kila kitu unachotaka kutumia then mimi nakufanyia design ya solar system kwa vifaa ulivyotaja na mwisho wa siku nakuja na jibu sahihi litakalo kufanya ununue system itakayo shibisha haja yako,ndio mambo yanavyo kwenda sasa,ki ukweli umeme jua ni poa na ni rafiki wa wote,
Mkuu nataka sana niwe solar lakini hujasomeka au huna hakika na uzoefu na field ya si watu wote wanajua watts ya vifaa vyao ungetumia uzoefu mfano nyumba za watu wengi wa kawaida ni kwts kadhaa labda taa 5, radio, tv, dek na fridge unatumia uzoefu, binafsi nina wa2 12 kijijini kwangu natakiwa niwawekee soler nimepata watu wananifanyia 250000 taa za saver 4, tv au radio. Nafikiri umenisom
 
Mkuu
nikupe mfano mdogo tu:
mfumo wa watts 100
1.nitakupa solar panel 100watts,kila moja 50watts ni Tsh laki 3
2.betry halisi ya solar N100 Ah laki 2 na 80elfu( hii siyo betry ya gari mkuu)
3.Charger controler 10A Laki moja
4.charger inveter 300watts laki moja therathini
kuhusu taa,energy saver 5watts utanunua mwenyewe ziwe 7

Matumizi ni kama ifuatavyo,utaweza kutumia runinga ya nch 21 ya rangi na taa tatu utaziwasha kwa pamoja kwa mda wa masaa matatu,baada ya hapo utawasha taa za nje na zitakesha mpaka asubuhi,

lakini pia itategemea na matumizi yako na uwakaji wa jua,unaweza tumia redio mda wote utakao bila matatizo yeyote yale na kama una tv inayotumia DC unaweza tumia kwa masaa sita hadi nane bila matatizo yeyote yale,
 
We jamaa kwa haraka tu we ni dalali solar watt 120 kwa Dodoma tu inauzwa 170000 na solar sell made in German battery N 100 ya dry cell 240000 hako ka charge control cha 10A ni 50000 na inventor watt 300 to 500 ni shilling 70000 sasa hizo bei unazitoa wapi au labda ni kampuni gani maana hizi ni sundar au nawewe ni kama wale wanaotoa solar za mkopo watt 200 kwa mil 3•8

mchokozi
 
Mkuu hiyo bei aliyotataja ni ya miaka 6 iliyopita,inawezekana ndio ilikuwa bei kwa kipindi hiko,au umesahau line ya simu tulikuwa tunanunua elfu 12 ila sasa ni Ths 500.
 
Back
Top Bottom