Sokwe Mtoto akamatwa uwanja wa ndege akitoroshwa kwenye Begi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sokwe Mtoto akamatwa uwanja wa ndege akitoroshwa kwenye Begi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 29, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Sokwe mtoto amekamatwa kwenye begi la nguo uwanja wa ndege akiwa anasafirishwa
  kuelekea ufaransa...

  Sokwe huyo mtoto alikuwa anaelekea France baada ya kuhifadhiwa na ghafla kuna mfanyakazi akahisi begi kuna kitu kinakurupuka kabla ya kwenda na kufungua na kukuta ndani sokwe anatafuta hewa..

  Sokwe huyu aliokolewa uwanja wa ndege wa Kinshasa
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Azomewe kwa wizi.

  Na huyo angekufa kabla ya kufika kwa kukosa hewa labda kama walishakubaliana na maofisa wa cargo section kimagendo.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Jamaa alikuwa amefungasha kitoweo. Si unajua tena mambo ya nyumbani? Unaenda kumsalimia binamu yako mjini unafungasha kikukuu au kimbuzi.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  CITES walifanya kazi yao vizuri sana....good job
   
 5. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Kwani yupo afisa maliasili pale airport?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Hpe fully wale awaaminiki ingekuwa bongo yupo france
  ukiwa na madawa camera zinzimwa wanaiga kazi na nje unapokelewa na askari wa usalama anakuingiza anakupa mwenye jezi unapanda juu anakusindikiza kama kikwete akielekea usa
  mungu atupe nini
   
Loading...