Soko: Viatu vya ngozi halisi toka Kyela Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko: Viatu vya ngozi halisi toka Kyela Mbeya

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Radio Producer, Jan 4, 2012.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Amaki Shoes Makers watengelezaji wa viatu halisi vya ngozi vya kike na kiume, wanapokea order kwa viatu vya shule n.k Wanauwezo wa kusuply pair 2500 kwa miezi miwili. Bei ni poa sana tena sana unangoja nini jamani?
  Kwa mawasiliano ni PM au andika email: radioproducer@rediff.com
  DSC07813.JPG
  DSC07810.JPG
   
 2. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Tanzania tunaweza
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,098
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Havipindi na kuota manundu baada ya muda mfupi???
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wachagga pale Moshi wanavitengeneza sana viatu vya aina hii, lakini shida yake ni kuwa hewa ikiwa na humidity kidogo tu vinaota UKUNGU, na asubuhi unaweza ukavikataa kama ndiyo ulivyovaa jana!
  Hapo ndipo utaona tofauti ya Local Brew na Brandy!
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Viatu vya namna hiyo wanaweza Waitaliano, sasa mmbongo kucopi kwa kutumia semi-processed cow hide siyo professionalism na wala havivutii wanunuzi; kwa vile huyo mtengenezaji anaonekana anauwezo mzuri wa kucheza na ngozi, anatakiwa awe mbunifu atengeneze viatu ambavyo viko unique na viwe kiasili zaidi, hapo itakuwa rahisi kpata soko la uhakika la nje na ndani.
   
 6. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Bado kuna watu wanavaa hivi viatu.?
   
 7. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  wakati watanzania wanajitahidi kutumia malighafi zetu kutengeneza finished goods wewe unawabeza, that is colonial legacy
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kaka hiyo finished good haiko original, angalia hivyo viatu; vyote amekopi design za waitu, tena katika ubora wa hali ya chini! Simkatishi tamaa, nampa moyo awe mbunifu, viatu kama hivyo hawezi kuuza nje ya mbozi, hata wewe kaka hicho kiatu hauwezi kununua-they look cheap and unoriginal!
   
 9. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mnaoleta beza mmeviona ua kuvivaa au ndiyo picha hiyo ina ukungu?
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tengenezeni vya watoto wa shule!! Itasaidia kupromote!
   
Loading...