Soko la Viazi Vitamu: Natafuta Soko la viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara

Liobite

Senior Member
Sep 10, 2013
125
35
Habarini,

Kuna kaka yangu ana viazi vitamu kama ekari 8 hivi na vinakaribia kukomaa ili vichimbwe.

Tunatafuta masoko ya viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom