Natafuta soko la viazi lishe Dar es salaam

Gomegwa G

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
415
535
Greetings 2u my dear Jf members.
Kama kuna mtu anaweza akanisaidia soko la viazi lishe hapa Dar-es-salaam naomba unisaidie plz. Nataka nijue soko lake kabla sijaingia shambani coz kna mtu kanishauri kwamba ni dili sana kwa maana kwamba mauzo yake vinauzwa kwa kilo na si kwa mafungu. Na kilo moja ni kuanzia sh 1000 huko morogoro.
Kwa Dar es salaam sinajua soko lake na bei yake. Kama kuna mtu anajua naomba msaada tafadhari.
 
Back
Top Bottom