Soko la unga wa mahindi yasiyokobolewa (unga wa DONA)

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
Juzi nimetembelea kwa mtu,nimekula unga wa dona,ulikuwa mtamu sana,ugali ni ulichanganywa na unga wa muhogo.
nilipo dadisi nikaambiwa kuwa huwa anasaga mahindi mwenyewe (in Dar),nimeongea na marafiki ,nikagundua watu wameanza kupata muamoko na value ya chakula,lishe ya dona ni bora kuliko sembe iliyokobolewa.

kuna rafiki yangu anakiwanda cha kusaga,nataka kumshauri kuwa kuna market ya Dona in DAR
hakutakuwa na Duka,orders zitachukuliwa kwa simu and online only.

naomba msaada kwa kujibu maswali machache,na maoni yanakaribishwa

1 Je kama upo Dar ungependa kupata huduma ya sembe isiyokobolewa (DONA),
2-kwa wiki utahitaji kilo ngapi za unga wa Dona uzito wa 5kg/10kg/25kg
3.Dona can be delivered within Dar office-Town with delivery charge of 2000Tsh.is this charge too low or reasonable

mradi ukianza utapenda kupata huduma hii?if yes
 
Ningependa, kilo 25 kila mwezi.
Kama ni lazima kwa wiki basi iwe tano kila wiki. Kuhusu delivery mtu anaweza kuja kuchukua.
 
Hiyo charge yako cjui kama ni low au reasonably maana itategemea mzigo utaufikisha wapi na kwa kiasi gani.
Nakushauri isiwe fixed.
 
the delivery charge its rate for a range of 20km radius from Dar. city centre
 
Ugali wa dona sisi ndiyo chakula chetu huku vijinini. Mahindi na mihogo tunalima wenyewe na kupeleka mashine ya kijiji kusaga. Kwanza kijijini kwetu hakuna duka linalouza unga.
 
Back
Top Bottom