soko la uhindini mbeya linaungua kwa moto

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
819
ninapoandika soko la uhindini ambalo liko katikati ya jiji la mbeya linaungua moto, haijulikani chanzo cha moto ni nini, lakini hali ni mbaya kwani huenda moto ukaathirimaduka yaliyo katikati ya jiji hili
 

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
819
Dr slaa, mheshimiwa rais wetu uliporwa ushindi nakuona uko hapa,tafadhali mwamshe mbunge wako mr. Sugu aende kule uhindini hali ni mbaya, nafarijika kumbe uko macho mpaka saa izi ukiangalia matatizo yetu,mwenzako kikwete saa izi kalala na huenda hajui kinachoendelea hapo mbeya
 

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
819
Siasa ni kuhusu watu na hawa wanaounguliwa soko ni watu acha ukasuku wako
 

jyfranca

JF-Expert Member
Oct 3, 2010
297
8
Ndio maana izi thread tumezigawa, kuna za kisiasa, uchaguzi, matukio ya kijamii ... inaonyesha wewe hujui kwa nini tunazigawanya. Habari za moto ni matukio, here we discuss politics and election, you can make any connection you want, but it shows you have lack of substance, peace no hate, just to educate you
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom