SOKO LA PAMOJA LA AJIRA NA HUDUMA AFRIKA MASHARIKI,JE watanzania tumepewa fursa sawa?

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Kwa sasa katika viwanda vyetu na sekta mbalimbali,wamejaa wakenya na waganda,je nasi pia tunapewa fursa sawa huko kwao?
 
Kinacho mata ni professionalism, nasi tukisoma kazi unafanya popote na heshima unapata popote,,nadhani bongo kuna nafasi n'je n'je
 
Kinacho mata ni professionalism, nasi tukisoma kazi unafanya popote na heshima unapata popote,,nadhani bongo kuna nafasi n'je n'je

Unajua jinsi ajira zilivyongumu Tanzania kwa sasa?Mfano TRA wanahitaj watu 40 lakin walioapply zaidi ya 1000,vp hapo?
 
Back
Top Bottom