Ngoja nimtwangiewacliana name huyu MTU anaitwa john mlay 0715573328 yeye ana bar ya Kitimoto Moro apo
Wako wapi hapa Morogoro? Pia kuna kuku Kama 20 hivi nataka niwatoe.Mkuu naona usimame mwenyewe nenda kwenye mahotel makubwa utafute oda. Morogoro hotel, pia Oasis ni wa Hindul wale hawapiki nyama ya ng'ombe. Ukizunguka huwezi kurudi mikono mitupu.
Wako wapi hapa Morogoro? Pia kuna kuku Kama 20 hivi nataka niwatoe.
Jamani kwa anayefahamu naomba anifahamishe mahali lilipo soko la nguruwe Morogoro. Nataka nisukume Madume yangu matano. Natanguliza shukrani.
Yap! Umefikia wapi mkuu utafiti wa ile ishu niliyokuuliza?Wanafaa kwa mbegu?
Wako wapi hapa Morogoro? Pia kuna kuku Kama 20 hivi nataka niwatoe.