Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

Before hio awamu lishaunguaga mzee fatilia vyema
kabla ya awamu hiyo liliungua la mwanjerwa na ndio lile jengo la gorofa lilijengwa kwa bilioni 16, though watu walipigapiga hela na Majaliwa kipindi cha jpm alishaenda kuwachachafya pale. naona unaleta uchochezi kwa serikali tu hauna hoja yeyote kwasababu haujui kabisa kinachoendelea mbeya.
 
kabla ya awamu hiyo liliungua la mwanjerwa na ndio lile jengo la gorofa lilijengwa kwa bilioni 16, though watu walipigapiga hela na Majaliwa kipindi cha jpm alishaenda kuwachachafya pale. naona unaleta uchochezi kwa serikali tu hauna hoja yeyote kwasababu haujui kabisa kinachoendelea mbeya.
Sawa Jongwe
 
Soko la SIDO mara mbili kabla ya makala lilishaungua before.
Na hili soko analolizungumzia mleta maada ni soko la uhindini city centre liliungua muda mrefu sana umepita nadhani kati ya 2007 mpaka 2012 sikumbuki ni mwaka gani hasa

Sent from my FIG-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Nchi hii kipaumbele ni Dar, Mwanza, Arusha then ndio mikoa mingine Rais ashafanya ziara nyingi Arusha, Mwanza na Dar tena kwa kujirudiarudia
 
soko lililoungua Mwanjerwa wakinga wakalia sana baada ya paka wao kuungulia kwenye maduka, lilishajengwa soko jipya la Mwanjerwa. Sido pia iliungua, na pale sido panaitwa Soko la Makala. ni soko gani la mbeya unaloliongelea nje ya maeneo hayo? kama unaijua mbeya.
Hili soko hadi watu wamelisahau kama lilikuwepo. Inaonyesha ni jinsi gani serikali imejidai kulisahau. Kama unaijua Mbeya unajua soko kuu lilikuwa wapi?
 
Sawa Jongwe
Soko la Sido na Mwanjelwa yapo karibu sana. Haujakosea sana kudhani ni soko moja. Na yote yaliungua. Lilipoungua la Mwanjelwa waziri Akukweti akaja kutoa pole na kuongea shit. Wakati wa kuondoka ndege yake ikaanguka na kuungua wakati wa kuruka. Ikaonekana kama Karma fulani hivi.
 
Ni tatizo. Mikoa yote ya mipakani kama Kagera, Kigoma, Songwe, Mbeya nk ingeweza kujengwa masoko ya kimataifa. Kungekuwa hakuna sababu ya watu wa kutoka nchi jirani kwenda mpaka Dar kufanya manunuzi ya jumla.
Tungehamasisha mikoa iliyopo mipakani ili tupunguze msongamano wa dar
 
Mtoa uzi anazungumzia soko la uhindini mbeya ambalo lipo katikati ya jiji mkabala na NMB Mbalizi road . karibu na ofisi nyeti.

Kwa sasa lina tumika kama car parking.. ila nmeona building plan yake..
litajengwa kubwa kuliko hata hilo la dar.. kuna video na attach hapa.

Ingawa tetesi ni Kuwa Chief Ha--nga-- Yaaa... hapatani kabisa na mbunge Betina.. ndiyo maana Mbeya imelala hoii kwa sasa
BETINA NDIYE KIKWAZO
 
Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
Naona unafananisha mbingu na dunia. Huko Mbeya so mnanunua wenyewe tu viazi mbatata mnalima home wakati Kariakoo kila mwenye mazao huko mikoani analeta hapa sababu ndio Kuna wachuuzi wengi mpaka nchi za jirani Zanzibar, comoro, Seychelles etc.
 
Back
Top Bottom